Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

Mbona nawafahamu waliofeli na wakatudi mtaani now wameoa na Wana familia kabisa yeye kwanini ajinyonge?
Na mimi nimewaza hivyo hivyo. Angeenda akaanzisha familia na kumtumikia Mungu kwa njia nyingine kama kuwa Katekista au vyama vingine vya kitume. Pole sana kwa familia.
 
Watu wanapendelea kula kilaini bila jasho, angesoma masomo yanayoeleweka (circular subjects ) angekuwa daktari, mwalimu, mwanasheria, na kuwa na familia yake. Hizi dini ni kudanganyana tu na kupotosha watu. Yeye imani yake yote aliiweka kwenye upadrisho. Kaa kule mguu mmoja ndani na mwingine nje. RIP, ila utaenda kukutana na mababu zako ili wakuonyeshe Mungu wa kweli. Hapa duniani ni Mungu wa mchongo tu.
 
...hao waliofaulu na kuwa mapadre ni wakawaida mno huku mtaani mara nyingi tunashindana nao kwa hoja ila kwa ile heshima ya kichungaji aliyo nao tunawapotezea tu.
Mapadri wanakaa kwenye nyumba zao au Parokiani, huko mtaani itakuwa uliona wachungaji, mitume au manabii. Padri wa RC huwa hana muda wa kubishana wala kufanya mihadhara na dini au dhehebu lingine, huyo uliyemshinda kwa hoja labda hukujua kama si padri wa RC
 
Apumzike kwa Amani japo inasikitisha. Msaada wa huduma za kisaikolojia muhimu sana hata vyuo vya seminari. Watu wengi waliofeli mitihani ya darasani WAPO NA MAISHA MAZURI SANA KULIKO HATA WALIOFAULI HALAFU WAKAENDA VYUO MBALIMBALI.
 
Chief, you might be saying this as a joke, but trust me, the message you are conveying is a naked truth oo!
Sure mkuu uncle wangu alifanikiwa kuwa mwalimu pale kijijini peke ake ndo alionekana kutoboa kipindi iko back to 2013, uncle alikuwa kichwa mno alikuwa akifundisha watoto wanapiga kinoma si wakamletea kombora uncle alifaid mshahara wake miez 6 tu. R.I.P.
Na alijulikana aliemloga ila wakaamua kuwachia Mungu
 
Circuar ndiyo masomo gani
 
Lushoto.Frateri wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimboni Tanga,Rogassion Hugho ,anadaiwa kujinyonga hadi kufa.
Hili ni tukio la pili kwa viiongozi wa dini, kudaiwa kujinyonga .Mei 16,2024 mkoani Dodoma ,Askofu Mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala naye alidaiwa kujinyonga ndani ya ofisi yake.
 
Haya matukio yanatakiwa kuchunguzwa kwa kina zaidi na sio tu kuyachukulia kua fulani kajinyonga basi ndio imeisha hiyo.
 
Usishangae mtu kujinyoga ila omba Mungu akuepushe na madhira ya walimwengu...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…