John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Je, ni kweli kwamba amejinyonga??? Hakunyongwa??
Hakuna jambo lingine lolote lililojificha nyuma ya pazia ???
Hakuna jambo lingine lolote lililojificha nyuma ya pazia ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujinyonga ni kweli, labda kwenye Sababu halisi japo pia sababu iliyotajwa ni kweli ipo..Je, ni kweli kwamba amejinyonga??? Hakunyongwa??
Hakuna jambo lingine lolote lililojificha nyuma ya pazia ???
Je, amejinyonga yeye mwenyewe au amenyongwa?????Jamaa
Kujinyonga ni kweli, labda kwenye Sababu halisi japo pia sababu iliyotajwa ni kweli ipo..
Anyway dunia ni pana.
Tarajia usichokitarajia.
Na mimi nimewaza hivyo hivyo. Angeenda akaanzisha familia na kumtumikia Mungu kwa njia nyingine kama kuwa Katekista au vyama vingine vya kitume. Pole sana kwa familia.Mbona nawafahamu waliofeli na wakatudi mtaani now wameoa na Wana familia kabisa yeye kwanini ajinyonge?
Huenda alikuwa ameshaandaa kamati ya sherehe za upadrisho. RIPApumbuzike kwa taabu sana,amerest in pieces baba padri
Chief, you might be saying this as a joke, but trust me, the message you are conveying is a naked truth oo!Village people ohhh stay away with them make sure they don't know your next step
Mapadri wanakaa kwenye nyumba zao au Parokiani, huko mtaani itakuwa uliona wachungaji, mitume au manabii. Padri wa RC huwa hana muda wa kubishana wala kufanya mihadhara na dini au dhehebu lingine, huyo uliyemshinda kwa hoja labda hukujua kama si padri wa RC...hao waliofaulu na kuwa mapadre ni wakawaida mno huku mtaani mara nyingi tunashindana nao kwa hoja ila kwa ile heshima ya kichungaji aliyo nao tunawapotezea tu.
Kumekucha 😂😂😂😂mimi natingishaga wowowo hadi maparoko wanadondosha sakramenti
cc mshamba_mwingine Lamomy dronedrake
Sure mkuu uncle wangu alifanikiwa kuwa mwalimu pale kijijini peke ake ndo alionekana kutoboa kipindi iko back to 2013, uncle alikuwa kichwa mno alikuwa akifundisha watoto wanapiga kinoma si wakamletea kombora uncle alifaid mshahara wake miez 6 tu. R.I.P.Chief, you might be saying this as a joke, but trust me, the message you are conveying is a naked truth oo!
Circuar ndiyo masomo ganiWatu wanapendelea kula kilaini bila jasho, angesoma masomo yanayoeleweka (circular subjects ) angekuwa daktari, mwalimu, mwanasheria, na kuwa na familia yake. Hizi dini ni kudanganyana tu na kupotosha watu. Yeye imani yake yote aliiweka kwenye upadrisho. Kaa kule mguu mmoja ndani na mwingine nje. RIP, ila utaenda kukutana na mababu zako ili wakuonyeshe Mungu wa kweli. Hapa duniani ni Mungu wa mchongo tu.
ukijiua si wanasusia msiba au sheria zimebadilikaHawawezi wakawa viazi kiasi hicho usiwachukulie km ni mafala sana ingawa Jamaa wanapiga sana 🍺🍻 vyombo, Fratelli hakupiga 🍺🤔?