Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 569
- 927
hahaha hakuna uchawi mkuu hapa utafanya freezing au unaweza ukapima ujazo wa ndo alafu unachukua ujazo wa maji na ndooo unatoa ujazo wa ndoo unapata ujazo wa maji tu
wew ngoja nikueleweshe katika physics maji ya baridi ni mazito kuliko maji ya moto (jaribu hata nyumbani kwenu kwa kuchukua ndoo mbili zenye maji tofaut ya moto na baridi) hivyo unapo freez mass ya maji itakuwa kubwa"
cha kufanya;
chukua maji ambayo unataka kuya pima(salt or pure water) weka kwenye ndoo bila ya ku_freez alafu pima kweny mizani unapata mass ya ndoo na maji,
then unapima ndoo peke yake
mwisho unachukua mass ya ndoo na maji unatoa mass ya ndoo peke yake. UNAPATA JIBU
Duuh tatzo watatak nxome nje ya nchi na mimi cpendelei hvo.. Bt thanks
tufuta taasisi unazoweza kuingia nazo mkataba kaa mashirika ya dini ili wakusomeshe baadaye ufanye nao kazi kwa mkataba ukimaliza unakunjuka kivyako
mkuu ishu sio gharama kwa advance unaenda private au gvt?
ingia website ya ubalozi wa japan kila mwaka kuna chance nyingi bahati mbaya watz hatujafanikiwa ku qualify zipo kibao ili mradi uwe na sifa
Duuh tatzo watatak nxome nje ya nchi na mimi cpendelei hvo.. Bt thanks
Kwa kumbukumbu zangu yanachange mass kijanaa kama una vitabu tafuta mambo ya ANOMALOUS EXPANSION OF WATERMkuu ebu angalia maji ya kifreez hayawezi kuongezeka mass maana ni change of state only mkuu
Kwa kumbukumbu zangu yanachange mass kijanaa kama una vitabu tafuta mambo ya ANOMALOUS EXPANSION OF WATER
mkuu unamaanisha aina za barua au muundo wa barua.kiuhalisia kuna aina nying sana za barua,kuna friendly letter/personal letter,official letter,letter to the editor na nyinginezo nying.lakin hizi barua zina miundo/muonekano wake katika uandishi,hii miundo ipo ya aina mbili kuna old formart na modern/block format.
Mpira umedondoshwa kutoka juu kimo cha mita 9 (tisa). Je, baada ya kudunda mpira huo utarudi juu kwa kimo gani?
Anamolous Exp inatokea Temp ikiwa -4Centrigrades.... kugandisha maji sio mpk yafike iyo temperature ya Anamolous hata 1Centrigaes ni msala mkuu na ndicho nilichokuwa naamanisha
Basi hapo Pima yakiwa katika chombo, baadae Pima chombo tupu af utoe uzito wa kwanza na wapili
hahaha hakuna uchawi mkuu hapa utafanya freezing au unaweza ukapima ujazo wa ndo alafu unachukua ujazo wa maji na ndooo unatoa ujazo wa ndoo unapata ujazo wa maji tu
Hajui kiswahili....be serious somtimes
mwaj waukweli njoo umueleweshe mdogo wako
Nilishasema hiyo mwanzoni mkuu na ndio njia iliyokuwa rahisi
[/QUOT
Hey 1litre = 1kg
Hey i have a quiz to ask why do pupils fail