Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mm nakaribisha maswali ya pure mathematics na economics na unaweza pia nipata 0659707051

ebhu apply eco yako ktk real world. Nini mtazamo wako ktk hili? Sasa tunajua tz kuna initial rise of price ya bidhaa kadhaa kutokana na kudondoka kwa tshs na pia kodi ya fuels kuongezeka ni dhahiri bei itapanda zaidi hasa bei ya bidhaa zenye uhusiano na fuels ila hofu kubwa ktk soko la dunia fuels zipo chini na itakuwa hatari ktk uchumi wa taifa endapo zitapanda+ ongezeko la kodi.

Nini ushauri wako kwa wafanyabiashara najua hoarding ni hatari, pia kusave bank ni shida, kununua asset kuna asset nyingine haziuziki kwa wakati unaohitaji, kukopesha pia ni balaa labda kukopa n.k

Je hakuta kuwa na risk kubwa wananchi kufanya hoarding ya fedha za kigeni?
 
Kwanza kufanya hoarding si jambo zuri kwa sababu unafanya mzunguko wa fedha kuwa mdogo kwahyo sishauri kabisa kufanya hoarding.

Na kwa hali ya sasa hivi wafanyabiashara wengi wakubwa wanafanya hoarding ya fedha z a kigeni kwa kutegemea kuwa huu mfumuko wa bei wa kila cku itafika kipindi thamani ya pesa mfano dolla itaendelea kuwa maradufu hvyo kuwafanya wao wawe na faida zaidi ila pia tuangalie kwa upande mwingine mtu wa tatu anaumia vipi tutakuja kuona bado haina maana yeyote ya kufanya hoarding ya fedha za kigeni.

Pia kuhusu swala la fuel ni swala zito sana hasa kwa wafanya biashara na hii ni kutokana na fuel mara nyingi bei huwa wanaifix na serikari hvyo basi itamuia ngumu mfanyabiashara kumaxmise ile profit ambae kwake itakuwa reasonable hvyo basi ushauri wangu kwa wafanyabiashara ambao wanahusika na fuel kuunda ushirikiano ambao utawafanya wao wawe na nguvu moja katika kumaintain soko la fuel
 
Who is god?,and what is the purpose of us being here?

god is any thing that man believe on that have power over man's life and his origin in the universe and other things around him.We are here to fullfil the need of god who created us.
 
I am working on literature book that carries the abundance of African values vs the western emulated, and empty virtues that does not prepare a candidate to face reality from our very backyard. Who want to disagree with my quest!
 
Jamani mi ninacho subiria nipost za kidato cha tano mbona amntoi ebukueni cras na mambo ya elimu?
 
Jamani mi nataka kujua kwa mtu ambaye o'level amepata F ya math lakin masomo mengne yte ana B,B+ na C moja,, je Ananafac ya kusoma CBG/PCB huko A'level?
 
Back
Top Bottom