Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Endelea tu kumchukia sisi tutampenda daima kwa mema mengi aliyotufanyia sisi wanyonge! Hususan kwa kutuondoshea hayo mamia ya wachumia tumbo ili neema itufikie!Nitamchukia daima mwendazake kwa udhalimu aliowafanyia mamia ya watu wasio na hatia
Mwendazake alikuwa shetani maruuniKatika watu niliwahurumia sana sana huyu mwamba nilimuojea huruama sana aisee. Yani yule mama yake alivokua anaongea kwa huruma, daah inaumiza sana mpaka akafariki na bado wale maharamia hawakumruhusu akamzike mama yake.
Yule mzee roho yake ilikua ngumu kwelikweli aisee.
Hakushtakiwa kwa kesi yakuwa yeye ni mrundi, ila kashtakiwa kama mtanzania mhujumu uchumi.Kabendera ni Murundi, Baba yake, alikuwa anaitwa Shinane Kabendera,alijiua kwa kujidumbukiza ziwani Victoria,Baada ya kupishana na akina Kagasheki kwenye Mambo ya uchaguzi
Yaani kosa la mtu halieleweki lakini adhabu yake ni hatariiMwendazake alikuwa shetani maruuni
Unamtukana mfadhili wetu?Kwa yale Makalio yake yalivyokuwa yamelegea 'Ndembe Ndembe' ndani ya ile Khanga aliyotupwa nayo pale Gymkhana Court wala hatuhitaji tena kusikia Simulizi yake ya nini kilimkuta huko kwani Watoto wa Mjini na tuliokulia Pwani na Wabobezi wa kwa Mpalange tumeshajua alichokumbana nacho huko.
Jaribu hata kidogo usome historia ya makabila ,watu na mataifa yote duniani. Itakusaidia kuwa great thinkerHalafu warundi wamejificha huko temeke,
Wakizaliana wanajitahidi kuhonga Ili wapate birth certificate,
Tusipokuwa makini in 20 years time sleeper agents watakua kibao kwenye system.
Hiyo Haina msaada kwa sasa.Jaribu hata kidogo usome historia ya makabila ,watu na mataifa yote duniani. Itakusaidia kuwa great thinker
Ndio maana wanakufa mapema sababu no udhalimu waoMapunguani ninyi mkisha pewa tuvyeo mnajiona mmewini maisha.shame on you
Kama kawa Kama dawa.Kama sabaya?
Aisee Ngosha alikuwa na roho mbayaa Sana, hivi kwanini MO dewji nae haelezei kilichomkutaga kipindi kile
Unaweza kutoa ushahidi kuwa wanapewa hivyo vyeti kwa magendo?, je Taasisi za kutoa vyeti vya kuzaliwa hawajui majukumu yao?. Tusitumie mitandao vibayaHiyo Haina msaada kwa sasa.
Issue hapa ni kwa hao wanaojipenyeza illegally Kwa kununua birth certificates.
Kununua birth certificate illegally haihusiani na historia ya makabila.
Uko wapi nikuletee Sasa hivi, nitajie location.Unaweza kutoa ushahidi kuwa wanapewa hivyo vyeti kwa magendo?, je Taasisi za kutoa vyeti vya kuzaliwa hawajui majukumu yao?. Tusitumie mitandao vibaya
Kwahiyo unasema wanatoa Russia kupata vyeti vya kuzaliwa. Je una uhakika kweli wanahonga na wanapewa vyeti halali vya kuzaliwa? Tusitumie mitandao vibayaUko wapi nikuletee Sasa hivi, nitajie location.
Iko hivi warundi wapo hapa Dar, wamejichimbia temeke na wanahonga ili kupata vyeti vya kuzaliwa.
Chukua hiyo.
Fanya unavyotaka mkuu, nakusubiri. Usinitishe.Kwahiyo unasema wanatoa Russia kupata vyeti vya kuzaliwa. Je una uhakika kweli wanahonga na wanapewa vyeti halali vya kuzaliwa? Tusitumie mitandao vibaya
Huyu si mbongo, anaongea utadhani kazaliwa nje
Mother tongue ni Kiswahili ila utadhani ni English
Hiyo profile picha na hilo jina LA jingalao hakika umeitendea haki hujakosea mkuu.Usaliti na ukosefu wa uzalendo unaadhibiwa kwa hanging
Ni Tanzania tu ambapo unakuwa agent wa mabeberu na kuishi kwa ufahari kabisa!Usaliti na ukosefu wa uzalendo unaadhibiwa kwa hanging