Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

10:25am - July 30, 2019

TCRA wamekanusha kuhusika kwa namna yoyote na uzimwaji/ukatwaji wa mawasiliano ya simu ya Kabendera na kusisitiza kuwa wao wanahusika na kudhibiti simu zisizotakiwa (fake)


Ni wazi sasa hili lilifanyika na wenyewe voda kwa utashi wao,
nadhani ni wakti sasa ile kampeni ipigwe kwa nguvu zote mpaka hapo watakapojitambua.
hawa voda sio mara ya kwanza kutumika.
 
Waandishi wa habari za kichunguzi Serikali ya JPM ilipaswa kuwaenzi. Infact hawa wangepewa hata shavu ili waingie chimboni confidently kuibuka na habari nyeti. Kwa bahati mbaya sana hawa watu JPM na genge lake halitaki kuwasikia hata kidogo maana hawa wanaweza kuibuka hata yale watawala wasiyopenda kuyasikia. #Serikali ya wanyonge my foot
 
[emoji15][emoji15][emoji15] mbona unashindwa kuficha ujinga wako dada angu?

Pole sana naona Sindano imekuingia vyema ndiyo maana hata sasa hivi umekuja Kiupole na Kiuwoga vile vile. Bora Mimi Mjinga kuliko Wewe Mpumbavu.
 
Policcm kwani mishahara yao ipoje mbona wanaishi kimaskini sana
 
“On Saturday, Mr Kabendera had published a report in The East African newspaper about infighting within Tanzania's ruling party and apparent efforts to block President John Magufuli from running in 2020 elections, reports AFP” - BBC

Hii inaweza kuwa sababu. Jamaa atateswa sana mpaka aseme nani kampa hizo inside News. Too sad,

Harafu kumbe hawa watu walianza kudeal nae kitambo sana: https://blogs.fco.gov.uk/erickkabendera/2013/05/02/case-study-tanzania/
 
Kabendera ni kabila gani na alizaliwa wapi ?

Nasikia mama yake ana miaka 76
 
Kakamatwa na usalama wa Taifa ili akahojiwe kwa sababu za kiusalama, Wananchi tuache ujuaji mwingi kama mtu ni tishio la usalama lazima akamatwe na akahojiwe. Wananchi mnatakiwa kutambua kuna mambo mingi yanayofanyika chini ya carpet so ujiulize mbona hujakamatwa wewe kakamatwa yeye. Lazima tuliende usalama wa taifa letu
 
Infact huo mchezo utaendelea mpaka litokee jambo litakalowafanya wapay the price ya matendo yao, nje ya hapo watateka waandishi, watateka wafanyabiashara,watateka wanazuoni, watateka viongozi wa dini, wakimaliza hapo watateka wapinzani wao!
Ni kama Shetani hivi aliyeachiwa lose, hawezi kukoma kusumbua mpaka itokee nguvu fulani ya kumdhibiti
kifo tayari ari
 
Back
Top Bottom