Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Huu ni uhuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TCRA inafata maelekezo kutoka "JUU" kwa "FUTURE PRISONER"
Hajawahi kukemea na hatawahi, siku akikemea najipiga banMwenye clip rais akikemea utekaji aiweke hapa
Hapa ndipo ilipo shida ya Watanzania, mnapanga wote mususe, ukiwapa kisogo wenzako wanakula.........Mbona Lema aliitaja voda na kamanda wenu mange akawaanziashia kampeni mkaishia patupu?
Swali ambalo kila police mwenye kigugumizi na hili swali sioni maana ya kiapo chaoHalafu kuna amiri jeshi mkuu aliyeapa kulinda usalama wa raia na Mali zao ,kuna vyombo vya dola vya kumsaidia ,uwt ,polisi jeshi ,magereza ,uhamiaji ,kikosi cha rais .Siyo bure ,halafu amiri jeshi mkuu hajawahi kukemea haya natukio hata maramoja toka yameanza Kwanini?