Kuna aliyekukataza kusubiri? Kichwa kikubwa busara kisoda
Nikuulize wewe. Au ndo unataka uwe wa kwanza kutoa taarifa?? Kuwa na subra kijana. Kuwa na masikio makubwa na mdomo mdogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna aliyekukataza kusubiri? Kichwa kikubwa busara kisoda
na huwezi kuelewa mpaka uwe mtanzaniaSijaelewa hapa....
Sawa...na huwezi kuelewa mpaka uwe mtanzania
Ni kama "Tesha"Niliwauliza hapa je akitokea na akakiri kuwepo kwenye mikono ya mtandao wa Mbowe je CDM mtasemaje na je bado mtaiamini CDM? KIMYAAAA mpaka sasa.
Mkuu hii ni habari ya gazeti la mjumbe wa kamati kuu ya chadema...Fakenews ishakuwa tatizo la kidunia.
Juzi hapa wakaandika fakenews kuwa waziri wa ulinzi wa israel ameionya pakstan kutopeleka askari wake syria kwa kisingizio chochote kile na ikifanya hivyo israel itailipua syria kwa nyuklia,
habari ni fake,sijui pakstan hawakujua kuwa ni fake,waziri wa ulinzi wa pakstan akajibu,hata wao wana silaha hizo za nyuklia.
Fakenews zinaweza kuleta madhara makubwa yasiyotarajiwa.
this is fakenews
Mbowe anajua Ben saanane alipo.Tunawaambia kila siku
Usishangae hata JF ipo kimya kuhusu member wake !!
Ajabu huyu jamaa inawezekana yupo humu humu akitumia Id nyingine
Ndio maana tunasema Mbowe anajua
Hizi ni kick zakipumbavu kweli!!!
Mjadala wa Huyu mtu ungefungwa tu
Maana hakuna lolote zaidi ya kucheza mchezo mchafu
Wasomi ni watumwa wa wanasiasa-Joh MakiniNgumu sana hii Nchi!!
Watu wenye akili na wasomi hawawezi kuishi hii nchi
Mfano ni Dr Slaa! Ndiyo maana hata Kikwete alikuwa ashindi Ikulu ya Dar
Kiufupi kuishi Tanzania unatakiwa uwe na Degree ya uwendawazimu! Tunaowatengemea watuvushe ndisho kwanzaa wanafanya mambo ya kikuda
habari imekaa kimtego tegoBado siamini, habari yenyewe haijakaa vizuri.
mhariri lazima ahojiwe kwa vyovyote vilesirro cheza na muhariri huyo
daaaah....Unakata mti unatengeneza karatasi then unaandika gazeti la namna hii.....Ni mara mia bora huo mti ungeachwa tumbili waning'inie watalii waje tupate pesa za kigeni......
daaaah....Unakata mti unatengeneza karatasi then unaandika gazeti la namna hii.....Ni mara mia bora huo mti ungeachwa tumbili waning'inie watalii waje tupate pesa za kigeni......
MwanaHalisi ni Gazeti la udaku la masuala ya Kisiasadaaaah....Unakata mti unatengeneza karatasi then unaandika gazeti la namna hii.....Ni mara mia bora huo mti ungeachwa tumbili waning'inie watalii waje tupate pesa za kigeni......
Angetuwekea gazeti tulisome na siyo habari ya kufikirika.habari imekaa kimtego tego
kama wanawaandaa watu kwa ajili ya kitu fulani
Degree za uwendawazimu zinapatikanaje mkuu?Ngumu sana hii Nchi!!