MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

Mi hata niliposikiaga tu! Jina lake hususani hilo la pili.. nilipata Question Mark..!
 
Dhambi ya kusaliti mabadiliko ya kweli na kuuza chama kwa mafisadi itawaandama milele chadema.
 
Wasije tu kuwa washamfukia mtoto wa watu,halafu wanaanza kuja na story za ben anaonekana mahali fulani ili kuua soo.

Huyo mhariri anatakiwa awe anahojiwa mida hii kiufasaha.

Jf ina watu laki 3 na wametapakaa kona zote,Ben hawezi akaonekana kitaa bila kuonwa na member wawili watatu na wakaja kucofirm humu
 
Umeamka nazo? Kubenea atumiwe na serikali? Mshaanza kutuhumiana? Ama kwa hakika ushirika wa wachawi haudumu
 
Wee kunguni usifananishe kuanguka kwa maembe mtini na kuanguka chama kikubwa kama chadema.
Chama kikubwa ambacho kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana kilikosa mgombea hadi ikabidi kisubiri makapi ya CCM, na makapi yenyewe mtu ambaye CHADEMA ilimwita baba la mafisadi kwa miaka tisa mfululizo. Nyie hamna maana kabisa.
 
Back
Top Bottom