Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

Mpangilio wa hii habari ni πŸ’―.
Hata kama ni propaganda ila kongole kwa muandishi katiririka kiandishi kwerikwerii!!
Hapana.

Mimi ningempa sanasana 70%.

kaziacha sehemu kadhaa zikining'inia bila ya maelezo ya kutosha..

Kwa mfano:

Huo mtiririko wa vikao, kuanzia Kamati ya Maadili, hadi jambo linavyoweza kufikishwa kwenye Halmashauri Kuu ya Chama haikunyooka sawasawa ikaeleweka. Ni vigezo vipi vitalifikisha jambo huko juu hadi kupigiwa kura na wajumbe.

Hata maelezo ya yaliyosemwa na Makonda, yanaonyesha kasoro kubwa ya uwasilishaji wa habari.

Huyo anayemfahamu Nchimbi, na yeye kaokotwa mahala tu na kutoa taarifa?

Kuna upungufu mkubwa ndani ya taarifa hiyo, hata hiyo sabini ninayotoa mimi naona nimefuata tu mkumbo wako.

Hii siyo taarifa ya kuitegemea sana.
 
Siasa za Africa ni kichekesho
Sijui kwanini historia hujirudia
Utasikia someone kahama chama na anaenda kugombea
What a load of rubbish
Ndiyo sababu nitamheshimu Nchimbi kama ataamua kutojiuzuru na kuhama chama. Asimame humo humo kama kuna analoliamini juu ya chama chake na kulisimamia.
That would certainly not be a "load of rubbish"!
 
Naam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…