Dr Emmanuel Nchimbi akae mkao wa tahadhari kubwa na salama...
Asipojicheki anaweza kutengenezewa kesi ya uhaini halisi sio ule bandia wa Tundu Lissu...
Kilicho kwenye vichwa vya wapinzani wake hawa kina Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda, Mwigulu Nchemba na Ridhiwani Kikwete na genge lao kwa ujumla ni kuwa VP Dr Emmanuel Nchimbi Anafanya plotting ya kumpindua boss wake Bi Kizimkazi a.k.a Iddi Amin Mama...
Tunajua na inajulikana wazi kuwa Dr Emmanuel Nchimbi ana backup kubwa tu ndani ya TISS, JWTZ, Polisi, ndani ya chama chake na Bungeni...
Wanapokutana au kuwasiliana na watu wake hawa kutoka ktk idara na taasisi zote hizo, anapaswa kuwa makini sana...
Otherwise, kila mawasiliano yake na kila anayekutana naye kufanya mazungumzo yoyote yale inaweza kugeuzwa na kuhesabika kuwa ni vikao vya kumpindua au kumuua Rais ambapo kwa tafsiri ya kisheria huo ni UHAINI huo...
Na kwa hakika kabisa hii ni vita kati ya TANGANYIKA na ZANZIBAR..