Hawa ndio wazee tunao waona eti wanabusara....😜Hivi siku hizi GAZA kuna Waafrika wanaishi huko....!!?
Watakwambia "it was sleeping of a tongue"
Hii tabia ya utegemezi inatudidimiza sana kama taifa. Ni tabia inayozidi kuimarika sana ndani ya jamii.Na,italeta heshima kubwa sana.
Mkuu sikiliza. Ile tarehe 29/10 wangetoka wananchi wengi saa hizi tungekuwa na serikali ya mpito ikiongozwa na eg Warioba. Trust me. Kilichofanya 29/10 ifeli ni wananchi kutojitokeza kwa wingi. Hakuna kinachoshinda nguvu ya umma. Wale polisi wote waliokuwa wanapiga watu risasi hovyo wangeyeyushwa kama barafu na idadi ya wananchi waliouawa ingekuwa ndogo kabisa.Unapokuwa unadili na KIKUNDI CHA KIGAIDI CHA KIDOLA.
Huwezi kukwepa NGUVU ZA NDANI na NJE.
Maana huwezi kupata HAKI mahakamani au kwa MAANDAMANO ya MAJI na MABANGO wakati MAGAIDI wanatumia SILAHA ZA KIVITA, tena GIZANI.
Sijakataa msaada toka nje.Unapokuwa unadili na KIKUNDI CHA KIGAIDI CHA KIDOLA.
Huwezi kukwepa NGUVU ZA NDANI na NJE.
Maana huwezi kupata HAKI mahakamani au kwa MAANDAMANO ya MAJI na MABANGO wakati MAGAIDI wanatumia SILAHA ZA KIVITA, tena GIZANI.
Nani kajiweka pembeni?Sijakataa msaada toka nje.
Msaada hupatikana kuunga nguvu unayoonyesha mwenye jambo.
Huwezi kujiweka pembeni kusubili ICC. Wasipotokea je?
Wanaoitegemea ICCNani kajiweka pembeni?
Nani kasema watu wajiweke pembeni?
Siyo dhambi kila mmoja atafanya kwa nafasi yake.Wanaoitegemea ICC
Sasa sijui kama nawe ni mmoja wao!
Hilo la kuomba msaada halina tatizo; kila nchi huomba msaada wa aina moja au nyingine; ndiyo maana ya uwepo wa mahusiano ya kimataifa.Ni kweli tunatakiwa tumalizane wenyewe ndani kwa ndani lkn mmoja akizidiwa kuna wakati hutakiwa kuomba msaada kutoka nje.
Sawa kabisa. Na hao ICC wakighaili; juhudi zetu zitaendelea hapahapa na hata kutafuta kuungwa nguvu toka kwingine kama nguvu zetu wenyewe zitakuwa bado hazitoshi kuondoa unyanyasaji huu.Siyo dhambi kila mmoja atafanya kwa nafasi yake.
Ndio maana hata huko ICC wapo waliopeleka kesi, ikiwemo chama cha wanasheria Madrid na NGO ya Afrika Kusini.
Unapaswa kujua kuwa huwezi kupambana na kikosi cha kigaidi kinachotumia SILAHA za KIVITA, BUNGE, MAHAKAMA, POLISI na HAZINA ya NCHI kwa maandamano ya MABANGO na MAJI tena GIZANI.Sawa kabisa. Na hao ICC wakighaili; juhudi zetu zitaendelea hapahapa na hata kutafuta kuungwa nguvu toka kwingine kama nguvu zetu wenyewe zitakuwa bado hazitoshi kuondoa unyanyasaji huu.
Hatuwezi kubeza uwezo mkubwa sana tulionao wenyewe; siyo tu wa kuondoa hizi takataka madarakani; bali hata katika maswala ya maendeleo yetu sisi wenyewe.
Ni swala la kupata uongozi tu wa kutuunganisha juhudi zetu kutimiza malengo tunayojiwekea wenyewe.
Duh!Ndio maana hata huko ICC wapo waliopeleka kesi, ikiwemo chama cha wanasheria Madrid na NGO ya Afrika Kusini.
UTU hauna MIPAKA.Duh!
Kumbe hata hili tulihitaji msaada toka nje?
Mkuu 'Mpwimbe', huu ni mjadala rahisi sana; kwa sababu inaonyesha hata wewe unaelewa umuhimu wa sisi wenyewe kufanya juhudi; kwa maana tayari umesema 'Kila mmoja kwa juhudizake"Unapaswa kujua kuwa huwezi kupambana na kikosi cha kigaidi kinachotumia SILAHA za KIVITA, BUNGE, MAHAKAMA, POLISI na HAZINA ya NCHI kwa maandamano ya MABANGO na MAJI tena GIZANI.
Kambarage wasira ni mjukuu wa wasira masatoWaanze na huyo Kambarage Wassira.
Kumbe basi, hawa wazulu walifikafikaje hadi Morogoro kama haikuwa ni hizo hizo juhudi zao wenyewe kujitafutia ukombozi wa taifa lao?UTU hauna MIPAKA.
Ndio maana kuna MAKABURI ya WAZULU MAZIMBU, MOROGORO.