'Precisely'Hakuna kinachoshinda nguvu ya umma.
Ni bahati mbaya sana kwetu kwamba wananchi hawajafikia kiwango hiki cha dhamira kwa sababu mbalimbali, ikiwemo ya kukosekana kwa uongozi wa kuunganisha nguvu hiyo ya pamoja.
'Precisely'Hakuna kinachoshinda nguvu ya umma.
SIna muda wa kukujaza uelewa wa vitu vidogo, ambavyo ni common sense tu.Kumbe basi, hawa wazulu walifikafikaje hadi Morogoro kama haikuwa ni hizo hizo juhudi zao wenyewe kujitafutia ukombozi wa taifa lao?
EEEeenHEeeee; nani, wewe "unijaze uelewa"?SIna muda wa kukujaza uelewa wa vitu vidogo, ambavyo ni common sense tu.
Huwezi kuchanganya UNAFIKI na UKWELI.
Walishasema Tanzania kuna Palestina pia.Huyu **** kweli 🙌😄 Gaza ndio Kuna idadi ya watu weusi wengi kiasi kile !?
Kivip!? Unaondoaje huo mfumo mbovu!? Kwa sala na maombi au!?Bado kuna watu wanasubiri ICC?
Hii ni kazi tunayoimaliza wenyewe hapahapa nyumbani
Kuna faida muhimu sana za sisi wenyewe kumaliza matatizo yanayotokana na janga hili kuliko kutegemea hao wa huko nje..
Moja ya sababu hizo ni kuondokana na mfumo mbovu unaofanya kazi ndani ya CCM.
Huyu ni mgonjwa mahututiThis is sView attachment 3581631ad....😪
Hili ni swali la kipumbavu.Kivip!? Unaondoaje huo mfumo mbovu!? Kwa sala na maombi au!?
Story za ICC bhana!
Ogopa sana mtu akikaa kimya,ICC imekaa kimya sana kulikoni..?
Au "kilaza"Aibu kubwa mnoo!Hayo majina yao tunayatafutia namna yatumike kiaibuaibu kama "kihiyo"!Samahani lakini kwa makwazo.
Mtayamaliza kwa kujificha nyuma ya keyboard hivi hivi.Bado kuna watu wanasubiri ICC?
Hii ni kazi tunayoimaliza wenyewe hapahapa nyumbani
Kuna faida muhimu sana za sisi wenyewe kumaliza matatizo yanayotokana na janga hili kuliko kutegemea hao wa huko nje..
Moja ya sababu hizo ni kuondokana na mfumo mbovu unaofanya kazi ndani ya CCM.
Kutoka Burundi.Au "kilaza"
Jibu swali punguza hisiaHili ni swali la kipumbavu.
Vijana waliona mbali kwa kubuni neno viande..😄Aibu kubwa mnoo!Hayo majina yao tunayatafutia namna yatumike kiaibuaibu kama "kihiyo"!Samahani lakini kwa makwazo.
Sikutegemea swali la namna hiyo toka kwako, mkuu 'Ozon'. Nasikitika sana ilinibidi nikujibu nilivyojibu; haimfurahishi yeyote, hasa nyakati hizi tulizomo.Jibu swali punguza hisia
HahahahaVijana waliona mbali kwa kubuni neno viande..😄
Kwamba ni wingi wa Chande zikiwa pomoni? Vijana noma sana.Vijana waliona mbali kwa kubuni neno viande..😄
Hahahaha
Angalia maana ya kiande au viande.Kwamba ni wingi wa Chande zikiwa pomoni? Vijana noma sana.