Kwani hiyo IQ yake inakatazwa kupimwa? Sasa kaiona hivyo yeye bali na wewe ruksa kuiona iko juu sana. Mambo ya kuambiana "huna adabu" yanatoka wapi tena?Huna adabu kabisa na una akili ndogo sana wewe.umejaa ukabila ,ukanda na chuki binafsi muda wote.
😆😆😆😆Kwani hiyo IQ yake inakatazwa kupimwa? Sasa kaiona hivyo yeye bali na wewe ruksa kuiona iko juu sana. Mambo ya kuambiana "huna adabu" yanatoka wapi tena?
Kwa sababu yote majizi sasa yanajua ukijifanya much know nao wanafungua faili lako na kuweka hadharani habari zako hata za chumbani.Hakuna watu wanaogopa madaraka ya rais kama wanaccm. Wote salama yao ni mbeleko ya vyombo vya dola kupitia madaraka ya rais. Hakuna mwanaccm anathubutu kushindana nje ya ccm, kwani huko ndio kuna mbeleko ya vyombo vya dola.
Mbowe ni mfugo halali wa ccm ...ccm inaupatia msosi mfugo wake mboweMbowe anaachia lini uwenyekiti?
Nje ya madaMbowe ni mfugo halali wa ccm ...ccm inaupatia sosi mfugo wake mbowe
Ningependa nisikie huyo uliye mjibu akikueleza kuna ubaya gani katika haya uliyo yaelezea hapa.Ushindani uanze ndani ya chama. Zitolewe fomu hata mia chama kipate mapato😂, kisha mama awagaragaze wooteeee.
Kwa kweli itashangaza sana!Huyu mzanzibari hawezi kuwa rais tena.
Mbowe alimuambia Sumaye kinagaubaga😂Sumu haijaribiwi kwa kulambwa
Hawa wazee kijana Abdul hawawezi kumsikiliza. Hao watakuwa wazee wa aina gani hao? Bila shaka watakuwa wamedondoshwa toka sayari nyingine, siyo wa hapa hapa Tanganyika.Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Sindimba hiyooo. Disco limeingia yero masai na sime kiunoniKuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Mkuu unahangaika na huyo PAKA wa Lumumba bure. Tangu 2010, CCM hajawahi kushinda uchaguzi kihalali. Uchaguzi wa mwisho kushinda kihalali ilikuwa 2005.Ushindani gani unaongelea ww, huu wa tume ya uchaguzi iliyojaza makada wa ccm? Ni bonge la upuuzi kuongelea ccm kushinda uchaguzi kwa mazingira haya.
Sio gazeti Wala Makonda wanaweza kuwataja.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Kwa nini?
Kwa nini!? Ccm sio sawa na Saccos ya Chadema, Demokrasia ya ndani lazima.
Wajitokeze tu, kawaida sana hiyo CCM.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Kwisha na habari yake ya …kula kwa urefu wa kamba…