Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nchi za East Afrika zinaongozwa n
Juzi hapa yule mpinzani wa Museven Bw Kizza Besigye alitekwa Nairobi, hizi nchi za EA Africa za kixenge sana, ni kama serikali zote wanashirikiana kufanya uhalifu...
Nchi za East Afrika zinaongozwa na magenge ya wahalifu ,hawa vibaka wanashirikiana kufanya ujangili wao na kuzima midomo ya raia ,shenzi kabisa
 
😭😭😭😭
IMG-20250112-WA0074.jpg
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795

Haya ndiyo aliyoyasema Musiba majuzi. Kumbe alikuwa anatuandaa kisakolojia.
 
Nchi za East Afrika zinaongozwa n
Nchi za East Afrika zinaongozwa na magenge ya wahalifu ,hawa vibaka wanashirikiana kufanya ujangili wao na kuzima midomo ya raia ,shenzi kabisa
Nani hao? Huku wanasema eti kajiteka DW wakenya wanasema hajatekwa kajiteka mwenyewe
 
Kina Anna Henga, profesa Manyora, msemaji wa serikali ya kenya jana tu walikuwa kwenye kipindi cha meza ya duara cha DW mada ikiwa na utekeji katika nchi za kenya na tanzania. Yaliongelewa mengi kuhusu utekaji, inakuwaje tena leoleo patokee kutekwa mtanzania nchini kenya, je ni kina nani wanafanya utekeaji?
 
ANAANDIKA Mh LISSU

Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.

A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.

While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.

And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
 
Yaan Maria sarungi nilijua yupo ulaya ndo maana anafanya harakati hizo bila wasiwasi kumbe yupo hapo Nairobi tu..alikosea sana huwez kufanya harakati kwa hz nchi za kiafrika kenya imekua nchi ya kipumbafu sn juz juz hapa wamemchoma tena Bisigye yule mpinzani mkubwa wa museven
 
Back
Top Bottom