Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii nnchi kuna jambo haliko sawa ka tumefika hapa bc naiman mama Abdul anatumia stail ya baba jesca
 
Iv we unatumia kichwa kufikiri au makalio
relax gentleman,

ni muhimu sana kujitenga na harakati kwenye maisha na famili binafsi kwa manufaa binafsi, ni hatari sana,

ukishupaza shingo, huruma na masikitiko ya wadau havitakusaidia wakati huo.

be warned, be disciplined itakusaidia sana kuliko matusi na kutukana :NoGodNo:
 
TISS wanaiga umafia wa Kagame(that's if it's a true story), kufanya abduction katika nchi ya watu ni kusababisha mvutano kati ya nchi na nchi unless kama wameshirikiana na shirika la kijasusi la Kenya(the shit has happened in Nairobi).
Ndio maana nikasema kama ni kweli hii sio mara ya kwanza banana republics kushirikiana.

Akina Ezekiah Ochuka waliuzwa kwa mabadilishano na wale waliotaka kumpindua Nyerere walipotimkia Nairobi walirejeshwa Tanzania kwa makubaliano ya Tanzania kuwapa Kenya kina Ezekiah Ochuka waliotaka kumpindua Moi walipotimkia Tanzania.
 
Mkiambiwa mle muwe na vitambi na wanene hamsikii mnasema mnamenteni figure.
Case study:deo bonge.
Screenshot_20250112-180645~2.jpg
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
Ukiona kiongozi yeyote anateka watu wanaomkosoa huyo Hana uwezo wa akili za kuwajibu wakosoaji, na hili tatizo litachelewesha sana maendeleo ya inchi za Africa
 
Huu ndio wakati wa Wafuasi wa Lisu na wengine kuandamana Sasa Hadi apatikane maana Huwa wanaongea sana 😂😂
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
Good!
 
Back
Top Bottom