Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna yule pimbi anaitwa mmawio kipindi kile (2021) anakata viuno humu kuwa hakuna mtu atatekwa tena wala kuokotwa kwenye kiroba nilimwambia "Muda utaongea".

Noah sasa zinavuka border,ni kama Kagame tu hata uhamishoni wakosoaji wake hula shaba.

Mange,Kibendera wakae radar hili ni picha la kutisha.
 
1736692122061.jpg
 
Yeye alijiamini vipi akaenda kukaa Kenya kuna usalama gaani kule? Si bora angeenda kuishi hata Botswana huko
Maria alikuwa ni mwanaCCM mwanaharakati wa HAKI za Binadamu na alikuwa akipinga sana haya mambo ya utekaji na uuwaji bila kufikisha watu mahakamani.

Hivi kweli hawa wauwaji wa Mzee Ali Kibao na watekaji wa akina Soka na Nondo watapatikana kweli?!
 
Back
Top Bottom