Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
Ngoja tuone mwisho wao
 
Nairobi sio ya mchezo
Unatekwa asubuhi tu tena katikati ya jiji
Linaweza kuwa mambo ya siasa na pia inaweza kuwa watekaji hata hawamjui ni nani bali randomly tu
Unawekea bastola kiunoni halafu wanaondoka na wewe hata kama umetoka kutoa hela
Tuombe sana kwenye dunia hii maana njaa imezidi pia
 
Jesus! Kwanini alienda Kenya! Mi huwa nafikiri anaishi Ulaya? Hakuona jinsi KiiZa besigye,alivyochukuliwa kikimandoo na ma spy wa Museveni,?!
Huo ndio mwisho, sasa hv huko alipo, atakuwa anaimba kama kasuku, atatendewa vitendo vya udhalilishaji, atatoa Siri zote,
Taasisi pekee ya kuweza kumuokoa, ni US Embassy, au umoja wa Ulaya!
 
Nairobi sio ya mchezo
Unatekwa asubuhi tu tena katikati ya jiji
Linaweza kuwa mambo ya siasa na pia inaweza kuwa watekaji hata hawamjui ni nani bali randomly tu
Unawekea bastola kiunoni halafu wanaondoka na wewe hata kama umetoka kutoa hela
Tuombe sana kwenye dunia hii maana njaa imezidi pia
Kizza Besigye alitekwa na vijana waliotmwa na Museven, hakuna cha ajabu hapo, wote wanashirikiana na intel za Kenya wanajua kinachoendelea.
 
Jesus!mother fucker! Kwanini alienda Kenya! Mi huwa nafikiri anaishi Ulaya? Hakuona jinsi KiiZa besigye,alivyochukuliwa kikimandoo na ma spy wa Museveni,?!
Huo ndio mwisho, sasa hv huko alipo, atakuwa anaimba kama kasuku, atatendewa vitendo vya udhalilishaji, atatoa Siri zote,
Taasisi pekee ya kuweza kumuokoa, ni US Embassy, au umoja wa Ulaya!
Hata mimi nmeshangaa,kusikia anaishi kenya na anafanya harakati akiwa huko

Ova
 
Back
Top Bottom