Nchi za East Afrika zinaongozwa na magenge ya wahalifu ,hawa vibaka wanashirikiana kufanya ujangili wao na kuzima midomo ya raia ,shenzi kabisaJuzi hapa yule mpinzani wa Museven Bw Kizza Besigye alitekwa Nairobi, hizi nchi za EA Africa za kixenge sana, ni kama serikali zote wanashirikiana kufanya uhalifu...
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.
View attachment 3199795
Akaunt zake zimefutwa na insta wenyewe.Hivi huyu Mange mbona impatient Insta kwa akaunti zake zote mbili. Au kaniblock
Nani hao? Huku wanasema eti kajiteka DW wakenya wanasema hajatekwa kajiteka mwenyeweNchi za East Afrika zinaongozwa n
Nchi za East Afrika zinaongozwa na magenge ya wahalifu ,hawa vibaka wanashirikiana kufanya ujangili wao na kuzima midomo ya raia ,shenzi kabisa
Ameomba zifutweAkaunt zake zimefutwa na insta wenyewe.
Wala si Mbowe.Kina Abdul wamepata wakati muafaka wa kumteka Maria.Wanajua wajinga watajua ni Mbowe.Mbowe amejiapiza kulinda saccos yake kwa gharama yeyote ike
Kipimo cha Lisu ni hiki hapa!Huu ndio wakati wa Wafuasi wa Lisu na wengine kuandamana Sasa Hadi apatikane maana Huwa wanaongea sana 😂😂
Bado Lema,Heche,Yani sasa hivi supporter wa Lissu wanasakwa kila kona ya dunia.
Ndiyo hivyo tenaNchi za East Afrika zinaongozwa n
Nchi za East Afrika zinaongozwa na magenge ya wahalifu ,hawa vibaka wanashirikiana kufanya ujangili wao na kuzima midomo ya raia ,shenzi kabisa
Kitamu ,watu Nairobi,wanakipasha moto muda huu.Abduli na Mchengerwa wanahusika for sure.Sema kuna mtu wake wa karibu kamsaliti.Hivi Abduli na Mchengerwa mtaishi milele?Kusema ukweli kina Abdul ni katili kuliko Magufuli.
Wanasema hajatekwa kajiteka wakenya wanasema hivyo hukoWala si Mbowe.Kina Abdul wamepata wakati muafaka wa kumteka Maria.Wanajua wajinga watajua ni Mbowe.
Wewe mpuuzi kwani huwezi kutulia shenziKitamu ,watu Nairobi,wanakipasha moto muda huu.
Mwamba ana makazi hukoHa ha ha ha
Mbowe ni mwanasiasa - mdemokrasia wa kweli hayo mambo hayamhusu.
Isije ikawa dr mihogo kamchoma