Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumambuzi nchi za kenya na tanzania mataifa mengine yakitangazia raia wachukue tahadhari kuna utekaji zisilalamike kukosa watalii. Hii sasa too much na tunalaani vikali utekaji
 
Kasha kwisha uyu wana msaanane haraka sana bila shaka uyu hawata mpitishia mpaka wa.... kama yule naniliii....
 
Watamtatua marinda sawa sawa, then watamuacha akiendeleza harakati zake wanaachia msimbo...

Naskia hata akina roma walitatuliwa marinda 🤔
Aliyekuwa kiranja wa hizo harakati naye alitatuliwa na covid na aliachia samadi la kufa mtu na sasa yupo kuzimu anapewa haki yake ya kiroho, hivyo hata huyu wa sasa naye atapata anachostahili muda haujawahi kuongopa.
 
Sarungi,Lema,Heche,TAL wanted!
 
Mbona kama Tundu Lissu kakata tamaa kwenye haya ya mwisho??
 
siajabu wamesham-stab in the back tayari kwa soros, rejea picha ya mbowe na tundu lisu iliyo trend hapa …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…