Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huko Kenya Kuna utekaji sana ,alikuwa ni Bongo hapa si ndio?

Je hajui kwamba huko Kuna Kampeni ya Ruto must go?
 
Mungu wangu😭😭😭
 
Kupitia ukurasa wa mtandao wa X mwanaharakati Tito Magoti amechapisha taarifa inayodai kuwa Mwanaharakati na Mtetezi wa Haki za Binadamu Maria Sarungi ametekwa nyara eneo la Chaka, jijini Nairobi na watu waliokuwa na silaha leo mchana.

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International nchini Kenya AmnestyKenya limeripoti kuwa Maria ametekwa na watu watatu wenye silaha wakiwa na gari aina ya Noah nyeusi leo majira ya saa tisa na robo Alasiri (3:15PM)

Hakuna taarifa kuhusu alipo au mahali anaposhikiliwa.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…