Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ngoja tuone mwisho waoTAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.
View attachment 3199795
Anarudi keshoHizi pigo za Kagame hizi...
You get picked anywhere...
SultanSasa Hapa Tunapata Picha Nani Anayeongoza Yale magenge ya Wahalifu
Jesus! Kwanini alienda Kenya! Mi huwa nafikiri anaishi Ulaya? Hakuona jinsi KiiZa besigye,alivyochukuliwa kikimandoo na ma spy wa Museveni,?!TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.
View attachment 3199795
Sarung.... Sla... .. TAL... lema.Kenyam has official joined Tanzania stupid politics.
Hawa wanaweza wanaweza wakampiga mtungo,wakamrekodiWanaum... Saa hizi wanapakua kitamu Nairobi.
Mengi gani na wewe ulikuwepo wakati anaropoka?Ama Dr Slaa karopoka mengi huko aliko
Kizza Besigye alitekwa na vijana waliotmwa na Museven, hakuna cha ajabu hapo, wote wanashirikiana na intel za Kenya wanajua kinachoendelea.Nairobi sio ya mchezo
Unatekwa asubuhi tu tena katikati ya jiji
Linaweza kuwa mambo ya siasa na pia inaweza kuwa watekaji hata hawamjui ni nani bali randomly tu
Unawekea bastola kiunoni halafu wanaondoka na wewe hata kama umetoka kutoa hela
Tuombe sana kwenye dunia hii maana njaa imezidi pia
KabisaaSultan
Hata mimi nmeshangaa,kusikia anaishi kenya na anafanya harakati akiwa hukoJesus!mother fucker! Kwanini alienda Kenya! Mi huwa nafikiri anaishi Ulaya? Hakuona jinsi KiiZa besigye,alivyochukuliwa kikimandoo na ma spy wa Museveni,?!
Huo ndio mwisho, sasa hv huko alipo, atakuwa anaimba kama kasuku, atatendewa vitendo vya udhalilishaji, atatoa Siri zote,
Taasisi pekee ya kuweza kumuokoa, ni US Embassy, au umoja wa Ulaya!
Huwezi kufanya Kitu mtaalam? 🐼Mungu wangu😭😭😭
Kagame tofauti na yule hasimu wake aliekua hotelini Kwa Madina, nani mwingine alimmaliza akiwa nje ya ardhi yake?Hizi pigo za Kagame hizi...
You get picked anywhere...
Nairobi hii imetoka Mkuu! Tafuteni manyoa TU!!Hawa wanaweza wanaweza wakampiga mtungo,wakamrekodi
Wakamwqmbia sasa tunakuachia ila ukirudia tena video zako tutaziachia
Ova
Kila ubaya utalipwaAbduli na Mchengerwa wanahusika for sure.Sema kuna mtu wake wa karibu kamsaliti.Hivi Abduli na Mchengerwa mtaishi milele?Kusema ukweli kina Abdul ni katili kuliko Magufuli.