Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Very sad
 
Noah ni gari hatari sana hasa ukiona zile Noah Mayai au wanaziita Voxy za mwaka 2006 - 2008, ukiona barabarani zipishe, zinakimbia alafu hazina mlio na ukiona tinted kaa chonjo..!!

 
Mimi siamini huu uzushi wenu kuwa Tz wanahusika Maria ni Mtoto wa Ccm kalelewa ndani ya Tiss iweje leo muisingizie serikali?

Huyo anahusishwa kuivuruga CDM miaka na miaka iweje leo atekwe na ccm aseme vizuri hapo Kenya kazulumu nini maana hapa tangu enzi za JPM alikuwa anakosoa na hawakuwahi kumkata kwani walishindwa kumfika Mzee Sarungi?

Acheni uzushi Serikali yetu haihusiki yeye anajua alichofanya huko kwa watu kwa akili yako angekuwa anatafutwa na Serikali yetu hata yeye kwa akili ndogo angekubali kwenda kujificha hapo Nairobi?

Huu ni Uzushi.....
 
Dah!
 
Mimi hapo nimeelewa tu hio mother fucker! Mengine sijaelewa emu andika upyq
 
Aliyetoa taarifa atoe ushirikiano kwa vyombo husika!
 
Endelea,kusema ni uzushi wakati kitamu kinaliwa na wasiojulikana
 
Mbaya mbaya mbaya sana!
Tunakwenda wapi na haya matukio?! TAMAA na UROHO WA MADARAKA KWELI UNAMFANYA MTU ATENDE HAYA?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…