Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

Use common sense.hapa watu waliteswa na mmoja alifariki.huko ni kuibiana nguo? Unaweza jifanya mjuaji kumbe makamasi tu.Watu wamefungiwa ndani ya ofisi ya kata na kuteswa kwa kipigo kikali.
Wananchi wangapi walidhurumiwa na viongozi wa ngazi za chini na Rais amewasaidia?
 
Aliyeachiwa kwa rushwa ni mwanajeshi au mtuhumiwa wa wizi wa vifaa vya mwanajeshi?

Je wewe upo upande gani katika utetezi?

Kujichukulia sheria mkonini ni kosa na kumuibia mwanajeshi nalo ni kosa.

Sema sasa upo upande gani wa shilingi,maana pyepyepye nyiiiiingi!
Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Kuna mwanajeshi alipiga watuhumiwa na kuwatesa na mmoja alifariki. Tukio ambalo limefanyika ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilaya ya Ilemela. Je, ni nani anamlinda yeye na migambo wa mtendaji wa kata hiyo wasikamatwe? Wameua mtu na wameumiza wengine.

RPC Mwanza anajua RCO Mwanza anajua OCD ilemela anajua. Je kwa nini wauaji hawachukuliwi hatua?

Tukio lilitokea mchana kweupe tar 26/10/2019. Au mpaka Rais akija Mwanza kwenye sherehe za uhuru ndio wahusika wachuliliwe hatua?
 
Kuna mwanajeshi alipiga watuhumiwa na kuwatesa na mmoja alifariki. Tukio ambalo limefanyika ndani ya ofisi ya kata ya kahama wilaya ya ilemela nani.Je ni nani anamlinda yeye na migambo wa mtendaji wa kata hiyo wasikamatwe? Wameua mtu na wameumiza wengine. Rpc mza anajua Rco mza anajua Ocd ilemela anajua. Je kwa nini wauaji hawachukuliwi hatua? Tukio lilitokea mchana kweupe tar 26/10/2019. Au mpaka rais akija mza kwenye sherehe za uhuru ndio wahusika wachuliliwe hatua?

Hao wana kinga ya kuua maana ndio wanatumika kuficha maovu ya serikali.
 
Back
Top Bottom