Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

Wanajeshi wako juu ya sheria kwakuwa wanamlinda mvunja katiba Ikulu. So wao nikila kitu wanaua watakavyo ndo maana kabudi aliandika barua kujitoa kwenye Mahakama ya kimataifa ili waue bila kuulizwa.
Hakuna aliyejuu ya sheria
 
Wanajeshi wako juu ya sheria kwakuwa wanamlinda mvunja katiba Ikulu. So wao nikila kitu wanaua watakavyo ndo maana kabudi aliandika barua kujitoa kwenye Mahakama ya kimataifa ili waue bila kuulizwa.
Sio kweli .sheria ifuate mkondo .mimi nafikiri kuna kulindana hapa
 
Kifungu gani cha katiba kimevunjwa? Siku hizi ndo wimbo wenu huu
Wanajeshi wako juu ya sheria kwakuwa wanamlinda mvunja katiba Ikulu. So wao nikila kitu wanaua watakavyo ndo maana kabudi aliandika barua kujitoa kwenye Mahakama ya kimataifa ili waue bila kuulizwa.
 
Tanzania imejitoa kwenye makubaliano ya haki za binadamu, Sasa Ni unyama unyama...... Kuuana tu
 
Kuna yule aliepiga raia risasi kanisani, hvi bado yuko uraian akiendelea na cheo chake??
 
Unasema??? Achana na theory mkuu. Hizi zipo tu lakini hazifanyi kazi. Kwenye shamba la wanyama kuna wanyama wengine ni wanyama kuliko wanyama wengine.
kama hizi ni theory fanya tafiti wangapi wameachishwa kazi
 
Kwani yule aliyemnyooshea Bunduki "Msaliti Nape" aliishia wapi???
Jamani hii ishu ya mza ni mbaya sana.Watu waliteswa ndani ya ofisi ya mtendaji wa kata. Mmoja amekufa .Polisi kirumba wanawalinda waliofanya kosa .habari zingine tuache kwanza
 
Back
Top Bottom