Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #41
Wananchi wangapi walidhurumiwa na viongozi wa ngazi za chini na Rais amewasaidia?Use common sense.hapa watu waliteswa na mmoja alifariki.huko ni kuibiana nguo? Unaweza jifanya mjuaji kumbe makamasi tu.Watu wamefungiwa ndani ya ofisi ya kata na kuteswa kwa kipigo kikali.
Hawezi kuisoma?Msafara wake ukipita hapo msimamisheni
Ova
Unajua unachokiuliza?Kaenda TAKUKURU? Kafungua kesi mahakamani?
Ninachokiuliza ni nini?Unajua unachokiuliza?
Takukuru kufungua kesi mahakamani!Ninachokiuliza ni nini?
Mwenye macho haambiwi tazama.Aliyeachiwa kwa rushwa ni mwanajeshi au mtuhumiwa wa wizi wa vifaa vya mwanajeshi?
Je wewe upo upande gani katika utetezi?
Kujichukulia sheria mkonini ni kosa na kumuibia mwanajeshi nalo ni kosa.
Sema sasa upo upande gani wa shilingi,maana pyepyepye nyiiiiingi!
Haki ipatikane.ndio upande wanguMwenye macho haambiwi tazama.
Yupi HuyoKwani yule wa Singida aliyeua mtu kanisani kaishia wapi?
Tanzania tulipofikia kuua sio ishu, ishu ni nani yuko nyuma yako
Yupi Huyo
Bora wale walikamatwa .hii inashangazaKwani yule wa Singida aliyeua mtu kanisani kaishia wapi?
Tanzania tulipofikia kuua sio ishu, ishu ni nani yuko nyuma yako
Kuna mwanajeshi alipiga watuhumiwa na kuwatesa na mmoja alifariki. Tukio ambalo limefanyika ndani ya ofisi ya kata ya kahama wilaya ya ilemela nani.Je ni nani anamlinda yeye na migambo wa mtendaji wa kata hiyo wasikamatwe? Wameua mtu na wameumiza wengine. Rpc mza anajua Rco mza anajua Ocd ilemela anajua. Je kwa nini wauaji hawachukuliwi hatua? Tukio lilitokea mchana kweupe tar 26/10/2019. Au mpaka rais akija mza kwenye sherehe za uhuru ndio wahusika wachuliliwe hatua?
Aliua Tu, Mamlaka Ziko WapiDed mmoja huko singida.
Sio kweliHao wana kinga ya kuua maana ndio wanatumika kuficha maovu ya serikali.
Hakuna aliyejuu ya sheriaSio kweli
...nilisikia ana undugu/ jamaa na mzee baba!Ded mmoja huko singida.
...nilisikia ana undugu/ jamaa na mzee baba!
Kwani yule wa Singida aliyeua mtu kanisani kaishia wapi?
Tanzania tulipofikia kuua sio ishu, ishu ni nani yuko nyuma yako