ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Hakuna aliyejuu ya sheria
Sio kweli .sheria ifuate mkondo .mimi nafikiri kuna kulindana hapaWanajeshi wako juu ya sheria kwakuwa wanamlinda mvunja katiba Ikulu. So wao nikila kitu wanaua watakavyo ndo maana kabudi aliandika barua kujitoa kwenye Mahakama ya kimataifa ili waue bila kuulizwa.
Kwani yule wa Singida aliyeua mtu kanisani kaishia wapi?
Tanzania tulipofikia kuua sio ishu, ishu ni nani yuko nyuma yako
Eti people's militia!Hiv mgambo kwa kingereza anaitwaje?!
Yaani ukiua vaa tishet ya chama huguswi kabisaKwani yule wa Singida aliyeua mtu kanisani kaishia wapi?
Tanzania tulipofikia kuua sio ishu, ishu ni nani yuko nyuma yako
MilitiaHiv mgambo kwa kingereza anaitwaje?!
Wanajeshi wako juu ya sheria kwakuwa wanamlinda mvunja katiba Ikulu. So wao nikila kitu wanaua watakavyo ndo maana kabudi aliandika barua kujitoa kwenye Mahakama ya kimataifa ili waue bila kuulizwa.
Hakuna aliyejuu ya sheria
Kinga ya kuua raia wakati hamna vita? Kuua raia kwa kuwatesa ndani ya ofisi ya mtendaji?Hao wana kinga ya kuua maana ndio wanatumika kuficha maovu ya serikali.
Yasemekana ni ndugu na mzee wa nyumba nyeupe.Yupi Huyo
Mbona HatariYasemekana ni ndugu na mzee wa nyumba nyeupe.
The MgambosHiv mgambo kwa kingereza anaitwaje?!
Njanó au kijani?Yaani ukiua vaa tishet ya chama huguswi kabisa
Kinga ya kuua raia wakati hamna vita? Kuua raia kwa kuwatesa ndani ya ofisi ya mtendaji?
kama hizi ni theory fanya tafiti wangapi wameachishwa kaziUnasema??? Achana na theory mkuu. Hizi zipo tu lakini hazifanyi kazi. Kwenye shamba la wanyama kuna wanyama wengine ni wanyama kuliko wanyama wengine.
Jamani hii ishu ya mza ni mbaya sana.Watu waliteswa ndani ya ofisi ya mtendaji wa kata. Mmoja amekufa .Polisi kirumba wanawalinda waliofanya kosa .habari zingine tuache kwanzaKwani yule aliyemnyooshea Bunduki "Msaliti Nape" aliishia wapi???