Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Safi sana Mkuu
 
Hii ni alama ya hatari sana Kwa chura kiziwi huyo jamaa mpaka amejilipua hivyo maana yake ana watu nyuma yake Tena wenye mafunzo wakifukuzwa wakaingia mtaani ndio mwanzo wa vikundi vya kuipinga serikali vinazaliwa
 
Safi sana captain, hawa watu wakiwa upande wa wananchi hakuna mwanasiasa wa kutuambia chochote.

Nani alijua Tanzania watakuja watu wa namna hiiπŸ’ͺ
Kaka Eli binafsi nilikuwa nimeshapoteza imani kabisa na JWTZ, ila kwa hiki nilichokiona leo.. acha niseme nalipenda sana jeshi letu la kulinda wanainchi, hakika Mungu aendelee kulilinda na Mungu amtunze sana Captain Tesha.
 
Makamanda waislamu mbona kimya 😁😁😁 hoooo sisi ndiyo tulipigania uhuru ohooo sijui kama siyo sisi waislamu.....kumbe mmekunja mikia mnasubiri wakristo wafanye ukombozi na maendeleo kisha mjipendekeze kuwa ni nyinyi ....hapa tz wakristo wanajenga nchi waislamu wanakuja kula nchi ndiyo maana waislamu ndiyo matajiri sababu ni kutokuwa wazalendo wao ni ufisadi tu na kuuza nchi
 
Sawa mkuu, ila kuna sehemu niliona umecomment juzi ukiwabeza timu october tunatoka na kuwasifia mapiliccm kuwa wako imara
Hapana sijawahi kuwa kibaraka wa majani hata siku moja, pale nilikua najalibu kuelezea tabia za hawa watu walivyo na siyo kuwasifia, maana ukisema ukabiliane nao kizembe bila umoja unapotezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…