Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Ila watu wamependa hiyo habari sijui kwanini? Mambo ya kua JW au sio JW Ayo tuachane nayo kwanini hii habari imependwa na wananchi?
Sio wananchi wote sema CDM na hasa wanaoshinda mitandaoni
 
Ujinga ni kipaji
 
Shupaza shingles tu
 

Attachments

  • Screenshot_20251005_140653_Chrome.jpg
    144.3 KB · Views: 28
Ni mwanajeshi kweli .je bado yupo kambini?yupo wapi Kwa Sasa?
Hakuna kitu hapo, hata aliyepachika jina ni mpuuzi mmoja asiejua kufoji
Ukiangalia vizuri unaona kabisa kuna jina nyuma limefichwa na kubandika kikaratasi....


 
Sisi hata kama angekuwa kavaa boxer kwa chini kisha na gwanda jwtz kwa juu bila kofia wala viatu
bado tungemuamini na kikubwa zaidi aliyosema ni kweli tupu isitoshe jeshi lenyewe halijamkana zaidi ya yote hata waraka wa kumkmata haupo hadi dk weee chawa huogopi?
 
Ndevu ni uchafu?
Ritz adriz The Consigliere Covax
 
Ulivyo kiazi hata macho yako yalivyo unfit unaona hizo baji ziko sawa mjinga mmoja wewe .nanga

USSR

View attachment 3483710

Wanajeshi wote bila kujali kamandi wanavaa crown ya aina moja tu ya TPDF kwenye kofia zao, period

Alama zilizopo chini ya neno umoja (ikimaanisha majeshi yote kwa umoja), zinaonyesha Navy (nanga), Ndege tai (wanaanga) na vitara viwili (land forces). Jieilimishe kijana chawa uvisisiemu


 
Waioutaka ukweli ndio husema hii ni AI.

Tunajua haiwezekani woote wawe upande wetu wananchi ila hao wanajeshi watakaokuwa upande wetu hata wakiwa 10 bado ni hatua nzuri, kwasababu tutakuwa na pakuanzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…