Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Huwa nikiwa HIGH Huwa naiwazia hii familia yangu changa pekee ila kifo harakati siogopi KIFO na kikinipata kiwe cha risasi kadhaa au risasi moja kwenye kupambania haki hapa nipo so HIGH.Sitamani kuona mauaji ya halaiki Tanzania,MUNGU mbariki kila mtanzania mzalendo,amen.
Jadili hoja sio personality za watu. Hata wewe unaweza kuwa na disorders kama vile Uvivu lakini ukiongea Ukweli utabaki kuwa ukweli regardless ya Uvivu ulionao.Kwanini anaanza kumshukuru Mungu badala ya Samia? Mwanangu nimekukubali. Sina shaka akina Kikwete na Mwigulu watakosa usingizi wasijue huu unaweza kuwa mwanzo wa mwisho. Afande umekosea kuingiza mambo madogo kama sakata la tapeli gwajima. Hapo, umeniboa sana mwanangu.
Waliomtuma huyu dogo wajanja na wanaweza kuzua jambo. Akikamatwa, wanajeshi wa rika lake wanaweza kuwageuka wakubwa zao. Wasipomkamata, itaonekana jeshi liko nyuma yake. Lolote litakalofanyika, laweza kuwa kitufe cha kuiingiza Tanzania kwenye jeshi kutwaa madaraka. Sijui haya ndiyo madhara ya Kapteni Ibrahim Traore au legacy ya Magufuli.
Sikuelewi. Hueleweki. Hakuna kimachoelweka.Jadili hoja sio personality za watu. Hata wewe unaweza kuwa na disorders kama vile Uvivu lakini ukiongea Ukweli utabaki kuwa ukweli regardless ya Uvivu ulionao.
So point of correction Hoja za Gwajima kama una akili timamu ni ukweli mtupu regardless ya personal disorder ya Utapeli uliyoisema.
D mbili tu huna utaelewaje??Sikuelewi. Hueleweki. Hakuna kimachoelweka.
Heri D mbili kuliko F zote ulizopata nyumbuuu wewe nyambaffD mbili tu huna utaelewaje??
Sasa hivi wamebaki kuja na makala ndeefu eti mata huyo alishafukuzwa jeshini kitambo, mara ooh huyo ni mpambe tu wa gwajima na pole pole, maana maneno aliyoongea ndio yale yale ambayo anayaimbaga Pole pole.Machawa hata hawaamini kinachotokea!
Kwani kuna mtu mwenye akili zake timamu ambaye bado anaamini nyie mtatoka madarakani kupitia sanduku la kura?mzee unapoteza mda wako, ccm haiwezi kutoka madarakan ata mpige kura east afrika nzima
unapoteza mda ata nje ya kura ccm huezi itoa, ccm malengo yake ni influence ya afrika na ndo chama kikubwa zaidi afrika kwa sasa, wewe kuitoa ccm influence utakaotakiwa kua nayo ni zaidi ya siasa, usijiidanganye kwamba mkiandamana ama kufanya fujo ccm itatoka madarakaniKwani kuna mtu mwenye akili zake timamu ambaye bado anaamini nyie mtatoka madarakani kupitia sanduku la kura?
Mbona uko nyuma ya muda wewe? Hauoni vata hii series ya matukio inavyoashiria mwisho wenu umefika?
Mtu anayekaribia kufa huwa anatapa tapa sana na kauli za kishujaa.unapoteza mda ata nje ya kura ccm huezi itoa, ccm malengo yake ni influence ya afrika na ndo chama kikubwa zaidi afrika kwa sasa, wewe kuitoa ccm influence utakaotakiwa kua nayo ni zaidi ya siasa, usijiidanganye kwamba mkiandamana ama kufanya fujo ccm itatoka madarakani
Hahaha wewe fala umejilisha upepo mwingi soon utaburstunapoteza mda ata nje ya kura ccm huezi itoa, ccm malengo yake ni influence ya afrika na ndo chama kikubwa zaidi afrika kwa sasa, wewe kuitoa ccm influence utakaotakiwa kua nayo ni zaidi ya siasa, usijiidanganye kwamba mkiandamana ama kufanya fujo ccm itatoka madarakani
Upuuzi sana wanaua watu state organ ziko kimya......aibu sanaaaaTunamshukuru kamanda tesha angalau Sasa chama CHA MAPINDUZI kitaongea na sisi Kwa heshima na adabu kwasababu Sasa kinatambua chenyewe kinatuteka jwtz inatutetea.
Wamekuwa delusional sana wakidhani watanzania wanyonge, hawana wa kuwatetea.Upuuzi sana wanaua watu state organ ziko kimya......aibu sanaaaa
Ni hakika ccm inaenda kuondokaDamu za kina Mzee KIBAO ambae alihudumu jwtz zinajibu mapigo. Sasa naamini CCM inaondoka.
Tunamshukuru kamanda tesha angalau Sasa chama CHA MAPINDUZI kitaongea na sisi Kwa heshima na adabu kwasababu Sasa kinatambua chenyewe kinatuteka jwtz inatutetea.