Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Hahaha wewe fala umejilisha upepo mwingi soon utaburst
naelewa nachosema mzee, na nyie mbna hamna kash kash kua mwamba waliteka mpaka ndege wakaenda nayo uingereza wakitaka nyerere ajiuzulu ila wap
 
Umepita jeshi lakini umekuja kuandika uongo. Umepita kweli jeshi?
Unasema beret ngao lazima iwe na bibi na bwana, pia haitakiwi kuvaliwa ikakaa pembeni?
Kwa hiyo hawa pia wanajeshi wetu waliovaa hivi? Ni wakenya hawa sio?


Pia unasema majina lazima yaanze na cheo? Kaa huyu aliyepo hapa na CDF mkunda sio mwananjeshi? Maana jina ake halijaanza na cheo


Uongo unakusaidia kitu gani?
 
Sawa Mwanajeshi vizuri kumsahihisha kuruta
 
Sawa Mwanajeshi vizuri kumsahihisha kuruta
Jambo baya kuandika kitu kwa confidence alafu cha uongo.
Ukiona kwenye mjadala mtu anaanza kusema mimi niliwahi hivi au vile ili akuaminishe kitu, basi jua atakuongopea

Wanajeshi kila leo wanavaa beret bila bibi na bwana, unakuwepo mwenge tu. Alafu Wala wengi havalii katikati, huweka pembeni

Pia kuhusu jina kutanguliwa na cheo kwenye magwanda wala si kweli, mfano nimempa wa huyo major general akiwa na Cdf
 
Umeeleweka mkuu salute Captain City Thunder OKC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…