Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

We nae kwanini ushuke kwenye gari uende dukani na uache gari barabarani? Kama ulikua na shida binafsi ungepaki gari pembeni na siyo kushuka na kuacha gari barabarani
 
Acha ubishi chukua elimu uliyopewa na jamaa yule mwanajeshi anaesimama nyuma ya Rais anaitwa mpambe wa Rais au ADC (Aide-de-campe) kazi yake ni Msaidizi wa Rais kama Rais ana briefcase anamsaidia kubeba au nyaraka zingine na siyo mlinzi walinzi ni wale TISS na polisi waliomzunguka Rais
 
Hao madereva wa daladala wanadharau Sana.. sishangai kupokea kichapo namna hiyo

Alafu na Wewe mleta Uzi Gari kilikuwa limesimama ika dereva kuonesha dharau akawasha
Watanzania tunaishi maisha ya kinafiki sana, humu hakuna asiyejua dharau na fujo za madereva daladala, lakini kwa unafiki wengi watachangia huku wakibase upande wa dereva kuwa ameonewa, wakati hawajui upande wa pili wa shilingi.
 
Kwa hio zile gwanda ni mapambio na mapambo ya upambe?
 
Ndo upokee elimu hiyo siyo kila mtu atakupa wengine hadi wanazeeka hawajui kuhusu hilo ukimegewa kipande cha ufaham pokea na usianze kubishana maana utaachwa na ubishi wako
Uwe unajibu maswali yule mpambe hua anavaa nini Ile dela? Umesema mpambe TU sio mtu wa Jeshi yaan mbeba mikoba ya Rais sasa mboni wanamvalisha gwanda la Jeshi?
 
Wanaume wa dar wanazingua sana,uwakute sasa na vibukta vyao asubuhi wanakimbia pembezoni mwa barabara,na vifua kama njiwa,utadhani wapo serious [emoji3][emoji3],gari zima wameshindwa kumkalisha huyo mpuuzi.
[emoji3][emoji3][emoji3] wanaume wa mikoani nao maneno matupu, si juzi juzi tu uko Arusha saa kumi jioni tu mji mzima watu washajifungia ndani wanamuogoga mtoto mdogo tu dangote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…