Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Naunga mkono hoja
 
Kwani hao abiria humo ndani wameshindwa kumzuia huyo mwanajeshi aacha kujichukulia sheria mkononi? Wameshindwa kumpiga?
Mzee utaongea tu kirahisi.....hawa wanatembea na Mguu wa Kuku anaweza kukufyatulia ukaondoka.

Bora ampige mabao tu lakini asije mtu poteza maisha.

Sana sana anataka kutimiza haja ya hasira zake mbele za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…