Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

hawa ni wanajeshi form four failure wanaojiona wakivaa kombat wamefika kumbe mchwa wanawasubiri kama waliovaa sanda.
 
Kuna siku raia nao watachoka. Hata kama dereva alikua na makosa gani lakini kwa hichi anachokifanya ngengemkeni ni upunguhani. Hajaz8ngatia usalama wake, wa raia ndani na nje ya gari.

Form four haitoshi kuwaingiza jeshini hawa. Wanahitaji darasa zaidi
 
Hapo inaonekana dereva wa daladala alicheza rafu na ndio maana amesimama, halafu huyo askari jeshi alisimama ili kumuadabisha.

Ila si jambo zuri askari wa jeshi la wanainchi kushambulia raia hata kama kuna makosa ya uzembe yamefanyika kwa sababu hii itawaweka raia katika nafasi ya kuamini kuwa hili jeshi ni adui zao kama adui wengine.

So busara ambayo angefanya huyo askari jeshi ni kumfokea huyo dereva wa daladala na kumpa jamba jamba kisha kuachana nae ila kumshambulia hivyo hiyo ni Jinai kwa mujibu wa sheria za inchi na hakuna sheria, kibali, wala kanuni inayomruhusu huyu askari wa JWTZ kushambulia au kupigana na raia kwa sababu yoyote ile.
 
yani hawa jwtz huwa wanajihisi ni miungu sijuiii...huyu akipigwa buti la kichwa anaweza kukata motoo maana nao ni binadamu ila sasa wanajitoa ufahamu balaa.. hapo angeshambuliwa apigwe kisuu sijui lawama zingekuwa za nani mob yote ile
 
Sasa ulivyokoment hivi ndio unazidi kumliza fundi bishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…