Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Wewe ni mpumbavu sanaa... yule askari naee hana akilii anadhani watu wanaogopa zile jezi za bakabaka oohoo watu washavurugwa na maisha angeweza kuuliwaa kizembe sana anastahili kupewa adhabu kalii sana kudhalilisha nguo za jeshi
Adhabu hazitolewi tu bila haki ya kusikilizwa na kuelewa chanzo cha changamoto.
 
Iyo ndo kaz vijana wa JWTZ wanaweka ila kulinda mipaka vijana wenzao wasiende kujiunga na ugaid wameshindwa
Kulinda mipaka wakimbizi wasiingie na kupewa ajira tena zenye maamuzi wameshindwa

Wao wanaweza kupiga watu tena watanzania wenzao
Wao wanaweza kugombea wanawake na kupiga wapenzi wao
Wanaweza kufanya usafi sku ya maandamano ili kutisha na kuonea watz wenzao
 
na bado mtapigwa nao sana tu
 
naendelea kumtafuta huyo mjeda ( askari wa jwtz ) aliyefanya hivyo ili nimpe zawadi ya soda tamu kwa sasa nchini tanzania ya supa commando na nawaomba na wanajeshi wengine waige mfano wake kwa madereva daladala wakorofi, wahuni na wenye dharau wa maeneo mengine nchini
Tz isiyojua Katiba wala Sheria yoyote, kila mtu ni mbabe. Uhuni huu utaishia pabaya!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.

Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu

Hii tukio liliwahi kutokea pale Picha ya Ndege, Kibaha mwaka jana, mimi nikiwa miongoni mwa abiria kwenye Daladala ile iliyokuwa inaenda Mlandizi, nilimind sana ingawa nilibaki kupigwa butwaa kama abiria wengine.

Huyo mpumbavu aliblock Daladala na ka IST kake halafu akaja dirishani mwa dereva akaanza kumpiga hadi akamchania Tshirt. Dereva hakuumizwa.

NB: Tatizo sio hawa wapumbavu, tatizo ni sisi raia kuwalea na kukubali wao watufanyie huu ujinga, tukijitambua watatuheshimu.
 
naendelea kumtafuta huyo mjeda ( askari wa jwtz ) aliyefanya hivyo ili nimpe zawadi ya soda tamu kwa sasa nchini tanzania ya supa commando na nawaomba na wanajeshi wengine waige mfano wake kwa madereva daladala wakorofi, wahuni na wenye dharau wa maeneo mengine nchini
hv we kilaza hujui nchi inataratibu zake , huyo mjeda hajui sehemu sahihi ya kumpeleka dereva , ndio maana tunaitwa sub human kwa kusapoti akili kama hz
 
Wanajeshi ni waonevu sana Subiri nitoe mfano wa nikichokiona Juzi wakati natoka kazini mida ya Jioni maeneo ya Tabata Kinyererzi kuna wanafunz wa Primary walikua wakivuka kwenye zebra,hivyo madereva wa pande zote mbili wakawa wamesimama kwa mda kupisha madogo na baadhi ya watu wengine wavuke kwa mda huo mimi nilikua niko opposite na kaduka nliposhushiwa nanua vitu nikawa naona honi zinapigwa kama zote kwa mda ule na gari iliokuwa inapiga ni Toyota Spacio na ndani yake kulikua na WANAJESHI tena vijana tu around 30 kilichonishangaza walikua hawataki kabsa kusubiria kwenye zebra kupisha watu kuvuka wakiwa ni gari ya nne kutoka zebra ilipo kama walikua na haraka sana na wakawa mda huo wanatumia ubabe kabsa kutanua nlichoshangaa mmoja akashuka akaenda kumwambia dereva wa daladal zilizokua mbele ondoa mgari wako.ila sababu kabsa naelewa hawa majamaa hawanaga akili wala hawatumii akili zaidi ya kutii oda ndio mana wao na polisi ni watoto wa baba moja form4 failure
 
Back
Top Bottom