Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

Huyo ni chizi kama machizi wengine
 
Hoja yako ni dhaifu sana mkuu, jamaa anazungumzia juu ya Democracy ya Tanzania. ilivyo weak kulingana mazingira iliopo sasa ya kesi inayomsibu mbowe..,Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini.

Kama mmeshindwa kuinganisha tuu, Tanzania utawezaje kuiunganisha Africa ... inferiority complex...
 
Alichemka mwenda zake utakuwa wewe mbweha mzungu ni mziki mwingine hawakulupuki hao
 
Umesema kwa vile alikuwa kwenye jeshi la ujerumani,lilikuwa na ubaguzi na mambo yote ya hovyo,basi na yeye ni WA hovyo,sasa kwa ufanano huo huo,
Maghu alikuwa katili,mbaguzi,kesi za kubambikwa zimejaa kibao kwenye polisi,basi wote waliopo kwenye serikali ya ccm,na vyombo vyake vya Ulinzi na usalama ni waovu na washenzi watupu.
Hakuna jema lolote ndani ya ccm tangu Mwalimu Nyerere
 
Huko chamani nzi wote wa kijani hamna akili,kazi ni kuropoka
 
Kuna maneno mwafrika hupasi yaandika au kuongea ' usiweke hoja ya kuuliza kufurai kuondoa mabeberu au kuondoa uongozi haramu wa wajerumani ' hilo sio swali la kuuliza maana mwafrika timamu hawezi wafurai hao mabeberu , WAAFRIKA SIASA INATUPELEKA PABAYA HATUJUI NINI MAANA YA CHAMA TAWALA NA CHAMA PINZANI , SISI TUNAFANYA SIASA KAMA UADUI VILE ,MLETA POST KAONGEA VITU SENSE SANA KIASI KWAMBA SIKUTEGEMEA KAMA KUNA MTU TIMAMU ANGEKUJA NA HOJA NEGATIVE , either mtu wa hivyo ana uelewa mdogo juu ya siasa za kidunia au anatumika na mabeberu kwa maslai ya mabeberu.
 
Bro siasa isikupumbaze akili kiasi hiko , Hivi tukiomba ushaidi wa kesi ya mtu kubambikiziwa utatuletea ?
 
Huyo shoga inawezekana ana bwana hapa tanzania. Mshenzi sana. Uongo wake dhidi ya tanzani utafikiri ni mwanamke malaya.
 
Alichemka mwenda zake utakuwa wewe mbweha mzungu ni mziki mwingine hawakulupuki hao
Mbantu hanaga akili , yaan mzungu huyo unaemsifia ana malengo mabaya na watz wote ni sio ccm au mleta post , ila kwa upeo mdogo wa baadhi ya wabantu huwa wanajiundia divisions za kjnga na mzungu ana tumia advantage , GOD BLESS ETHIOPIANS hao ndo waafrika wenye utimamu wa akili , nchi nzima imeungana kuwaondoa wale vibaraka wa wazungu , ila kwa mbantu hili hutoliona zaid ya kusapoti adui na tunastukaga kumekucha
 
Alienda nawalimhudumia hadi akaja kupata Urais kwa hisani yao ya Peacemaker.
Ukaidi tu,angekuwa bado Rais wetu.
Tukubali kuishi kwa kuchukuliana kwa mwenye nacho/asiyenacho.
maneno yako yananikumbusha mbwiga mmoja alikuwa hataki uhuru enzi za utumwa kisa waafrika tumeumbwa kuwatumikia wazungu [emoji23]
 


Kwanza ondoeni majeshi yenu ya kivamizi huku Zanzibar

Tumechoka Tuwacheni tupumue , kila uchaguzi mnaongeza vikosi mnatuua na kututia vilema , uchaguzi uliopita mumekodi mpaka majeshi ya Burundi . Sisi hatuna habari na huyo mjerumani tumechoka na madhila na uvamizi wenu Watanganyika .
 
Andishi lote neno mwanajeshi umeandika Mara miamoja ,wanajeshi waulaya skonga ipo nahawatumiwi Kama mnavowatumia wakwenu afrika ndotofauti
Si hao wanajeshi wa ulaya walitumika kuichafua libya ? Ni watu wema sana hao si ndio
 


Kwa Taarifa yako Ethioppia inasaidiwa na UAE pamoja na Uturuki

Tumechoka na huu uvamizi wenu huku Zanzibar , Ondoeni majeshi yenu yaliyojaa kila kipembe pamoja na usalama wa taifa lenu la Tanganyika
 
Siku ikifik ndo utakumbuka muungano unawabeba wazanzibar kuliko bara , Alshabab wanawatamani sana siki tukiwaachia huru [emoji23]
 
Mleta mada tupe mifano ya hiyo migogoro aliyoianzisha katika bara la Afrika.
Otherwise utakuwa "chawa pro" unayeishi kwa kujipendekeza kwa watu.
Kama ni mwanaume be careful utaliwa very sooner!
 
Siku ikifik ndo utakumbuka muungano unawabeba wazanzibar kuliko bara , Alshabab wanawatamani sana siki tukiwaachia huru [emoji23]

Mnatubeba kwa kutujazia vikosi kila kipembe na ukifika uchaguzi mnakodi mpaka majeshi ya Burundi.

Wewe utakuwa ni mmoja wa hao Alshababu , ulijuaje ??

alshababu hajamuua mtu Zanzibar , nyinyi mumetuulia watu wetu kwa maelfu na kututia vilema
 
Mmeanza propaganda za Polepole na Jiwe. Badilikeni. The world and Tanzania has moved on!
 
Kwa Taarifa yako Ethioppia inasaidiwa na UAE pamoja na Uturuki

Tumechoka na huu uvamizi wenu huku Zanzibar , Ondoeni majeshi yenu yaliyojaa kila kipembe pamoja na usalama wa taifa lenu la Tanganyika
Tunazungumzia mwamko wa kujitambua , wa ethiopia hawakutawaliwa sababu walikuwa wanajielewa sio kama nyie kazi kusifia waarabu au wakristu kazi kutetea wazungu ( bado watumwa kiakili huezi kutufananisha na wa ethiopia ) , Angalia juzi wamefanya maandamano ulaya huko juu ya kuvionya vyombo vya habari vinavyochochea mgogoro wao , huko ndo kujielewa sio nyinyi mnatetea mtu ambae ni tishio kwa usalama wa ukanda wetu wote huu , siku tz ikiingia machafukoni basi jua burundi na congo plus rwanda hawatabaki salama maana hii itakuwa kichochoro cha kuingizia silaha na hata wapiganaji wa maeneo ya landlocked countries na ndio maana tumewindwa sana tangu uongozi wa Magu , ila kwa vile hatujielewi basi tunahis hao wazungu wanatupenda sana Upinzani , tuamke jamani tofauti zetu isiwe kichochoru cha mafanikio ya mtu mwingine tujifunze kwa somalia , libya na Syria walidanganywa kuwa wanasaidiwa kuondoa tawala zao eti ni za kibabe ( bila ushaidi yaan propaganda tu ) ila baadae wanakuja kuona hao wasaidiaji wamejikita kwenye wizi wa maliasili na sio kuwasaidia raia na kibaya unakuta hali ni mbaya kuliko kipindi cha utawala wa yule muliomuita mbaya ila ndo mmekosea na hamuezi tena rekebisha makosa mpaka wahamue wao wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…