Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

Utopolo
 
Mmeanza propaganda za Polepole na Jiwe. Badilikeni. The world and Tanzania has moved on!
Mzungu hajawai kuwa rafiki kwa nyani , sio propaganda za Magufuri au Polepole , hao wazungu ndo wameichafua dunia , angalia walivyotaka kuichafua Ethiopia ( ila mungu mkubwa ) hao hao wazungu wameichafua Central Africa , Drc , Rwanda ( 1994) , Nigeria ( ilishikwa ndege ya kifaransa ina silaha na vyakula vikielekea misitu ya Sambisa walipo boko haram sijui Buhari alimalizaje lile sakata ) Libya sio siri unaelewa , Syria ( tunaona ufadhili wa mabeberu wa wazi wazi kwa Wakurdi na IS na kuwachonganisha ) Bro kwa kumaliza hapo kenye mwaka huu lile janga la Laikipia inasemekana kuwa walishoka bundukiza wale wafugaji kumbe ni wawindaji ( wale watalii kutoka ulaya , unajiuliza silaha zilifikaje mikoni mwa watu wasiojua hata kuvaa Gucci ) kiufupi ukisikia taarifa juu ya wazungu bro usichanganye na siasa , maana wazungu wanafanya hayo mambo na hupenda kuwatumia watu wenye njaa ya maisha ili kuwatumia kutafuta ushawiahi baina yetu kisha ndo wanaunda sintofahamu
 
Mnatubeba kwa kutujazia vikosi kila kipembe na ukifika uchaguzi mnakodi mpaka majeshi ya Burundi.

Wewe utakuwa ni mmoja wa hao Alshababu , ulijuaje ??

alshababu hajamuua mtu Zanzibar , nyinyi mumetuulia watu wetu kwa maelfu na kututia vilema
Niletee video ya mzanzibar anauawa na hayo majeshi unayotaja
 
Mnatubeba kwa kutujazia vikosi kila kipembe na ukifika uchaguzi mnakodi mpaka majeshi ya Burundi.

Wewe utakuwa ni mmoja wa hao Alshababu , ulijuaje ??

alshababu hajamuua mtu Zanzibar , nyinyi mumetuulia watu wetu kwa maelfu na kututia vilema
Pili niletee ushaidi wa uwepo wa majeshi ya burundi ndani ya Zanzibar kwa baraka za serikali ya muungano
 
Tunapenda kulaumu wengine kwa matatizo yetu. Kuna kitu kinaitwa legitimacy. Watawala wetu wengi hawana legitimacy ndo mana wanafanya madudu Mwisho wa siku wanasingizia wengine. ntakuwa wa mwisho kuamini kwamba matatizo ya waafrica yanasababishwa na wazungu au mabeberu kwa lugha pendwa. Matatizo tunayasababisha sisi na Hatuna budi kuyatatua Wenyewe.
 
kuna mtu atakuja kujibu huu ujinga aliowajaza wajinga wengi hapa kwetu TZ, Mfano ni huyu mtoa maada ni zao la ujiinga huo
 
Tutoke nje ya mada na nkuulize kitu , tunamshutumu magufuri kwa mauaji ila kuna ushaidi wowote wa video au picha ya mauaji Magufuri kayafanya au Magufuri akiwatuma polisi au jeshi waende kuua ? ila hizi habari za Magufuri alikuwa muuaji zinatokea wap ? ukielewa nlichouliza ndo utaelewa sasa my point
 
Sasa wewe nguruwe ndiyo umeongea nini ni bora mzungu kuliko nyie ngozi ya mkuundu ni lini mzungu ulishasikia hapa tanzania kesha mchinja kama kuku mtanzania au kampiga risasi mtanzania mchana kweupe au kaua kaweka kwenye viroba au kabambika kesi mwingine mbwa nyie hamna akili bora mzungu kuliko mkoloni mweusi mtanzania mccm mafi kabisa!
 
Sisi hatuhitaji kujitambua Na mambo ya Somalia ,huyo Baba yenu Nyerere baada ya kuwekwa madarakani Na waingereza alipewa kibarua cha kuivamia Zanzibar Na kutuuwa kwa maelfu kwa kisingizio cha uarabu. Na mpaka Leo mumetujazia majeshi Na vikosi vya usalama Kama tuko vitani. Halafu unaleta mambo ya eti mjerumani. Kwanza acheni udhalimu wenu hapa Zanzibar, Ondokeni msituletee Siasa Za kudanganyana.
 
Pili niletee ushaidi wa uwepo wa majeshi ya burundi ndani ya Zanzibar kwa baraka za serikali ya muungano

Majeshi ya Burundi mliyakodi wakati wa uchaguzi ,hivi Sasa mlishayaondoa
 
Mimi sichukuwi video , hiyo Si sinema.

Kama vile hujui kuwa mumetuvamia kuanzia 1964
mkuu unaleta utoto sasa , yaan hata youtube huna kuona tukio la muungano lilivyoenda
 
Mkuu punguza utoto basi , kabla ya Muungano mliua waarabu video zipo , Nyerere kaiunganisha Zanzibar na Bara ndo ukawa mwisho wa mauaji Visiwani , mpk leo zipo chuki cha chini kwa chini kati ya waunguja na wapemba , muungano ndo unalificha hilo
 
mkuu unaleta utoto sasa , yaan hata youtube huna kuona tukio la muungano lilivyoenda

Utoto unaleta wewe ,yaani majeshi yanafyatua risasi kuuwa watu ,Mimi niende mbele Na camera yangu nirikodi
 
Mbona una jianyaga?au ume banwa na gogo?
 
Utoto unaleta wewe ,yaani majeshi yanafyatua risasi kuuwa watu ,Mimi niende mbele Na camera yangu nirikodi
Lini majeshi yaliingia mtaani kuua watu lete ushaidi , usije ukawa wakala wa vikundi vya kihuni kueneza propaganda za kuzichafua serikali zetu
 
Mkuu punguza utoto basi , kabla ya Muungano mliua waarabu video zipo , Nyerere kaiunganisha Zanzibar na Bara ndo ukawa mwisho wa mauaji Visiwani , mpk leo zipo chuki cha chini kwa chini kati ya waunguja na wapemba , muungano ndo unalificha hilo

Ndivyo ulivyodanganywa hapo Lumumba?

Hivi hujui kuwa Nyerere alipinduliwa Na wanajeshi Na Uingereza ndiyo iliyomweka madarakani. Kwa kurudishwa kwake akawa kibaraka wa Uingereza? Na kazi ya kwanza aliyopewa ni kuivamia Zanzibar Na kuweka jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…