Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

Na lin ulisikia serikali imemchinja mtu au kumpiga mtu risasi makusudi ? ukiongea lete na ushahidi na sio stori za vijiweni maana ndo ttzo waswahili
 
Mzungu kakusaidia nini?
 
Ndivyo ulivyodanganywa hapo Lumumba?

Hivi hujui kuwa Nyerere alipinduliwa Na wanajeshi Na Uingereza ndiyo iliyomweka madarakani. Kwa kurudishwa kwake akawa kibaraka wa Uingereza? Na kazi ya kwanza aliyopewa ni kuivamia Zanzibar Na kuweka jeshi.
Mm sipo kweny siasa ila napingana na stori za vijiweni ,

Lete ushahidi sio maneno mingi ndg
 
Lini majeshi yaliingia mtaani kuua watu lete ushaidi , usije ukawa wakala wa vikundi vya kihuni kueneza propaganda za kuzichafua serikali zetu
Majeshi ya Tanganyika yalianza kuwepo Zanzibar siku 3 baada Mavamizi
 
Sikuona jambo lolote la uongo aliloliongea!!!! sema tu umaskini na uoga wetu ndio unatuponza lakini kila kitu kina mwisho,mara nyingi wanaosema ukweli ndio wanaumia zaidi.
 
Hajatia mtu kwenye viroba Na kumtupa Coco beach
Nahitaji ushahidi na si maneno tu ambayo mtu anaeza yaandika kisa kakosa mkopo au kafukuzwa kazi au kabaniwa mianya ya kutokulia kodi ( yaan ubinafsi )
 
Mataga wanaweweseka
 
Ungekuwa na akili ungesema hoja zake halafu ukazipinga , kwa kuwa huna uwezo wa kuzipinga ndio umekuja na utopolo , pole sana hoja hizo ni nzito viongozi wote wa ccm taifa hawana uwezo wa kuzijibu sembuse wewe ? MacAllister timemsikiliza ameongea facts tupu kuhusu uonezi wa serikali ya Tanzania kwa wapinzani , ukiukaji wa demokrasia , haki za binadamu , akatoa na mfano wa Mbowe kufunguliwa mashtaka feki , akohoji kwanini kodi za watu wanachama wa jumuiya ya ulaya ipewe serikali inayokiuka demokrasia na haki za binadamu ?Hujaelewa nini we utopolo au hupendi ?
 
Na lin ulisikia serikali imemchinja mtu au kumpiga mtu risasi makusudi ? ukiongea lete na ushahidi na sio stori za vijiweni maana ndo ttzo waswahili
Kichwa chako ni benki ya kamasi hata nikikuwekea facts hutoelewa.
 
Nahitaji ushahidi na si maneno tu ambayo mtu anaeza yaandika kisa kakosa mkopo au kafukuzwa kazi au kabaniwa mianya ya kutokulia kodi ( yaan ubinafsi )

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…