Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

Huyu aweke kwenye Immigration list ya watu wanaozuiliwa kuingia bongo, akifika tu anarudishwa kwao
 
Yuko sahihi kutoa mawazo yake. Nani haoni (isipokuwa wewe) yanayotokea hapa kwetu kisiasa?
 
Tatizo la mcallister ni rafiki wa T Lisu na ni mtetezi wa mashoga ssa huend jama amemuogopa kama atataka hizo haki hapa Tanznia.
 
Tatizo la mcallister ni rafiki wa T Lisu na ni mtetezi wa mashoga ssa huend jama amemuogopa kama atataka hizo haki hapa Tanznia.
Kwani Lumumba lini mumeacha ushoga ?
 
Hawanaga hoja hawa mkuu
 
Simply put; Akili yako haina Akili, period!
 
Tudadavulie vyema, alipeleka hoja ipi huko Bungeni kwao?
 
davidmcallister
@davidmcallister

I am deeply concerned over the human rights situation and the shrinking of civic space in
#Tanzania. Since 2015, the country has been sliding towards an authoritarian regime.
@EP_ForeignAff
will continue to closely follow the situation in Tanzania.

4:58 PM · Dec 1, 2021·Twitter Web App

321
Retweets
37
Quote Tweets
1,120
Likes

Tweet your reply

Reply

·
3m

Replying to
@davidmcallister
and
@EP_ForeignAff
DJ McAllister it is not difficult for us to understand your so cold deep concern over human right situation in Tanzania because of your relationship with CHADEMA which is a sister party to yours CDU. You should not use EU Parliament forum to advance your ego-that is abusive
 
ndiyo majibu hayo , akili za ma CCM ziko makalioni. Yaani kwa kuwa ni chama rafiki wa Chadema ndiyo hoja zimejibiwa hapo
 
ndiyo majibu hayo , akili za ma CCM ziko makalioni. Yaani kwa kuwa ni chama rafiki wa Chadema ndiyo hoja zimejibiwa hapo
Mbona sioni hoja za kujibu hapo. Naona kuna mgongano wa kimaslahi pale Bunge la Ulaya linapogeuzwa kuwa uwanja wa kupigania maslahi ya vyama.
 
Machadema akili zenu sawa na za ng'ombe
 
Mbona sioni hoja za kujibu hapo. Naona kuna mgongano wa kimaslahi pale Bunge la Ulaya linapogeuzwa kuwa uwanja wa kupigania maslahi ya vyama.

Yaani kama vile Mbowe hayuko ndani , kwa tuhuma za kubambikizwa na kama vile uchaguzi uliopita ulienda sawa tu

Kiasi usione hoja yoyote, akili zenu mnazijua wenyewe ziko wapi
 
Yaani kama vile Mbowe hayuko ndani , kwa tuhuma za kubambikizwa na kama vile uchaguzi uliopita ulienda sawa tu

Kiasi usione hoja yoyote
Wewe uliona makosa yoyote? Mbowe anatuhuma mwache azijibu kwa kusaidiwa na viongozi wengine wa CHADEMA maana CHADEMA ndiyo Mbowe na Mbowe ndiye CHADEMA
 
Wewe uliona makosa yoyote? Mbowe anatuhuma mwache azijibu kwa kusaidiwa na viongozi wengine wa CHADEMA maana CHADEMA ndiyo Mbowe na Mbowe ndiye CHADEMA

Wale majeshi na vyombo vyengine vya dola waliokuwa wakipiga watu na kusindikiza masanduku ya kura feki wewe hukuwaona wala kusikia? au na wewe uliwekwa kwenye madaraka na vyombo vya dola? Na vipi wale watu waliouliwa na waliotiwa vilema au hakuna jamaa zako humo ??
 
Wewe uliona makosa yoyote? Mbowe anatuhuma mwache azijibu kwa kusaidiwa na viongozi wengine wa CHADEMA maana CHADEMA ndiyo Mbowe na Mbowe ndiye CHADEMA

Hata uamsho walikuwa na tuhuma hizo hizo , baada miaka 9 ndani mbona mliwatoa au muwatese watu tu ?
 
Hujitambui na hujielewi mtoa post.

kafanye uchunguzi na usikimbilie kutupostia GOOGLE RESULTS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…