TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

Poleni kwa wote watakaoathirika kulingana na kifo chake.

Safari yake imeishia hapo hakuna apumzike pema wala pabaya mambo yenu hayasaidii chochote.

Safari ya mwanadamu ni fupi na kama fumbo huenda imebaki roho ikiishi kwenye ulimwengu tofauti na wetu.(Yaani kwenye ulimwengu wao tu waliopoteza miwili au kufa kama tulivyozoea kuita) Na pia huenda hakuna lolote linaloendelea ndio mwisho wa kila kitu
 
Shukurani kwa mwenyezi Mungu kwa maisha yake na huduma aliyoitoa kwa jamii na familia yake, ameiachia dunia alama ya kukumbukwa, pole nyingi sana kwa familia na wote walio wake, ajaliwe pumziko jema lenye amani la milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…