Natoa pongezi zangu kubwa kwa Mwana JF
Malisa Godlisten kwa kuweza kufunga ndoa siku ya leo Jumamosi katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Moshono jijini Arusha Mjini.
Congratulations bro Malisa GJ kwa hatua na maamuzi haya uliyoyachukua leo hii 13.05.2017
Ni hatua moja kubwa sana katika maisha, umeondoka kwenye kundi letu na kutuacha. Muda si mrefu nasi tutafuata nyayo zako kaka kwa uwezo wa MUNGU...[HASHTAG]#HongeraSana[/HASHTAG]!!
View attachment 508807 View attachment 508808 View attachment 508809
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless Jonathan Lema akiwa na Mke Neema Lema katika uwanja wa Wold Garden jijini Arusha kwenye sherehe ya harusi ya Malisa GJ
View attachment 508838
Katika halfa hiyo pia walikuwepo viongozi mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe Naibu Katibu Mkuu Chadema Salim Mwalimu pamoja na wabunge wengine.
View attachment 509002 View attachment 509003 View attachment 509004 View attachment 509005