Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ni shekhe shida ni nini mkuu?mkuu inawezekana siyo Shekhe huyo..
hilo vazi la a ki-nigeria/West africa
Ulitakaje sasa?babu zetu walioishi kwenye umasikini walifunga ndoa uchi?
Wewe lofa hata utani huujui. Huoni hiyo "shekhe" ipo kwenye mabano?Acha ushamba ww!..vazi la kinigeria hicho.
Ufahari upi uliouona?hongera zake...Je ugumu wa maisha wanaousema wanachadema ni upi ikiwa makamanda wanaoa kifahari kabisa??
Wakikujibu na mm ntakua nimepata jibu mkuuhongera zake...Je ugumu wa maisha wanaousema wanachadema ni upi ikiwa makamanda wanaoa kifahari kabisa??
Natoa pongezi zangu kubwa kwa Mwana JF Malisa Godlisten kwa kuweza kufunga ndoa siku ya leo Jumamosi katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Moshono jijini Arusha Mjini.
Congratulations bro Malisa GJ kwa hatua na maamuzi haya uliyoyachukua leo hii 13.05.2017
Ni hatua moja kubwa sana katika maisha, umeondoka kwenye kundi letu na kutuacha. Muda si mrefu nasi tutafuata nyayo zako kaka kwa uwezo wa MUNGU...[HASHTAG]#HongeraSana[/HASHTAG]!!
View attachment 508807 View attachment 508808 View attachment 508809
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless Jonathan Lema akiwa na Mke Neema Lema katika uwanja wa Wold Garden jijini Arusha kwenye sherehe ya harusi ya Malisa GJ
View attachment 508838
Katika halfa hiyo pia walikuwepo viongozi mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe Naibu Katibu Mkuu Chadema Salim Mwalimu pamoja na wabunge wengine.
View attachment 509002 View attachment 509003 View attachment 509004 View attachment 509005
Utani au ulikua hujui,ushajua sasa!..tembea upate exposure Acha kukaa kolomije maisha yoteWewe lofa hata utani huujui. Huoni hiyo "shekhe" ipo kwenye mabano?
Great thinker....thinkUlitakaje sasa?