MwanaJF Malisa GJ amefunga ndoa leo jijini Arusha

MwanaJF Malisa GJ amefunga ndoa leo jijini Arusha

Safi sana MUNGU awape ndoa yenye furaha na amani, ndoa nikutimiza matakwa ya MUNGU waiheshimu na kuilinda vyema.
 
MBONA HUYU SIYO YULE DADA KIILYA AU WAMWMWAGANA?


Natoa pongezi zangu kubwa kwa Mwana JF Malisa Godlisten kwa kuweza kufunga ndoa siku ya leo Jumamosi katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Moshono jijini Arusha Mjini.

Congratulations bro Malisa GJ kwa hatua na maamuzi haya uliyoyachukua leo hii 13.05.2017
Ni hatua moja kubwa sana katika maisha, umeondoka kwenye kundi letu na kutuacha. Muda si mrefu nasi tutafuata nyayo zako kaka kwa uwezo wa MUNGU...[HASHTAG]#HongeraSana[/HASHTAG]!!
View attachment 508807 View attachment 508808 View attachment 508809

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe Godbless Jonathan Lema akiwa na Mke Neema Lema katika uwanja wa Wold Garden jijini Arusha kwenye sherehe ya harusi ya Malisa GJ
View attachment 508838
Katika halfa hiyo pia walikuwepo viongozi mbalimbali wa Chadema wakiongozwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe Naibu Katibu Mkuu Chadema Salim Mwalimu pamoja na wabunge wengine.
View attachment 509002 View attachment 509003 View attachment 509004 View attachment 509005
 
Wewe lofa hata utani huujui. Huoni hiyo "shekhe" ipo kwenye mabano?
Utani au ulikua hujui,ushajua sasa!..tembea upate exposure Acha kukaa kolomije maisha yote
 
Hao watoto alikuzalisha wewe? Mbona hukuja mahakamani kuweka pingamizi
Jamaa si tayari kashazaa mkewake ana mtoto huyu.Hivi KKKT nao kama Katoliki kumbe eeh unabariki tu ndoa na sio kufunga ndoa
O
 
Back
Top Bottom