Marehemu hana kauli ila Kama hakutaka Identity yake iwe wazi akiwa hai hata akiwa amekufa inapaswa kubaki hivyo, kama aliiweka wazi ni sawa kuendelea kuiweka wazi.Marehemu anakuruhusu vipi kuonyesha picha yake?
Sometimes alikuwa Taxi driver pia.Marekani, cape town Dar ila kutembea kote huko alikuwa wakala wa mpesa maisha haya dah
RIP RUBAWA
Allah ampe kauli thabiti,ameupishe adhabu za kabri!MwanaJF mwenzetu Rubawa amefariki jana nchini Marekani!
Marehemu alikuwa akiishi Dar na Cape Town, Afrika Kusini kabla ya kwenda Marekani miezi michache iliyopita.
Rest easy bro, Hamidu Rubawa!
View attachment 2828672View attachment 2828673
Maua tulia watu tuko msibani tuna majonzi 😜Rubawa sio lubawa shida kubwa hiyo ya matamshi
Mkuu,Marehemu hana kauli ila Kama hakutaka Identity yake iwe wazi akiwa hai hata akiwa amekufa inapaswa kubaki hivyo, kama aliiweka wazi ni sawa kuendelea kuiweka wazi.
Apumzike kwa amani mwenzetu.
Mwenyezi Mungu ampokea na kumuweka mahali anapostahili muungwana Rubawa, apinzike kwa Amani.MwanaJF mwenzetu Rubawa amefariki jana nchini Marekani!
Marehemu alikuwa akiishi Dar na Cape Town, Afrika Kusini kabla ya kwenda Marekani miezi michache iliyopita.
Rest easy bro, Hamidu Rubawa!
View attachment 2828672View attachment 2828673
Sema kuna watu mshaanza kuleta vya kina kitimtim wakati msiba bado mbichiKwa haraka haraka nimeangalia thread zake jamaa alikuwa bigwa wa nyuzi za taarifa za tanzia..
R.I.P mwana jf.