LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
It is unbelievable. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It is unbelievable. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
Kwa haraka haraka nimeangalia thread zake jamaa alikuwa bigwa wa nyuzi za taarifa za tanzia..MwanaJF mwenzetu Rubawa amefariki jana nchini Marekani!
Marehemu alikuwa akiishi Dar na Cape Town, Afrika Kusini kabla ya kwenda Marekani miezi michache iliyopita.
Rest easy bro, Hamidu Rubawa!
View attachment 2828672View attachment 2828673
Marehemu anakuruhusu vipi kuonyesha picha yake?Privacy policy has to be adhered! Kakuruhusu kuonyesha picha yake hapa?
niwekee one of themNimepitia comment za ndugu yetu marehemu lubawa alikua kichwa....
Pumzika kaka lubawa
Sasa kwanini upost picha yake katika platform ya unonimity kama hapa?? Shwaini!Marehemu anakuruhusu vipi kuonyesha picha yake?
Kwani kuwa wakala wa M-PESA ni dhambi?Marekani, cape town Dar ila kutembea koye huko alikuwa wakala wa mpesa maisha haya dah
RIP RUBAWA
Zitabaki kua nadharia ila kwa sisi wakristo tunaamini kifo ni mpango wa MunguKuna vifo vya Mungu na vifo vya wakuu wa giza...
Kuna watu Roho zao zinatumikishwa bado duniani na wakuu wa giza...
Watu hufikiri vifo vyote ni vya Mungu...
NB: Watu wengi hawajafa kifo cha Mungu
Alikuwa amekuachia wosia kuwa akifariki utoe tangazo hapa JF? Hapa JF watu wengi wanatumia ID feki na hawataki kujulika.Amefariki ghafla, hakuwa mgonjwa.
Kwa hiyo ajali ya manyoni na bichwa la treni ni mpango wa munguZitabaki kua nadharia ila kwa sisi wakristo tunaamini kifo ni mpango wa Mungu
Mbona unakosa utulivu, nimekuuliza marehemu anaweza kukukataza usiposti picha yake?Sasa kwanini upost picha yake katika platform ya unonimity kama hapa?? Shwaini!