TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi.

Mazishi yamefanyika leo kwao Rungwe .

Apumzike salama
Apumzike Kwa Amani
 
RIP Ndikwega

Njombe ndikwega maana yake navuta
 
Duh..... nimempoteza follower wangu na mdau wangu wa lugha ya Kinyakyusa.
Mungu ampokee huko mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…