TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Utaongezea kule juu. Alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.

Namba ya kutuma rambirambi zetu ni 0756865385 - ABEL KAHAVA. Mbarikiwe na mkajazwe maradufu popote pale mtakapopunguza.

Heaven Sent Atatu update hapahapa
 
Back
Top Bottom