Dah...naogopa hata kuimagine!😭😭! Pole mno aise!Pole sister Saint Anne
Maisha ndivyo yalivyo mi nlimpoteza mama February this this year nlihis dunia imepinduka.
Poleni sana Anko, kila nikimpigia simu yake simpati hewani.Utaongezea kule juu. Alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.
Poleni sana Anko, kila nikimpigia simu yake simpati hewani.
Mungu awatie nguvu.Yes anko, hayupo sehemu nzuri ya mawasiliano. Tukimpata basi tutaleta updates nyingine