TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Pole sana mdogo wetu Mungu akutie nguvu katika kipindi hichi cha kumpoteza mzazi
 
Amen[emoji24][emoji120]

Mungu huwa hakosei.
Ila ameniumiza mno,,hakutaka japo kunisikiliza maombi yangu[emoji24]
Hey dear!!Pole sana kipenzi Mungu ana sababu ya kila jambo,nafahamu utasimama imara ingawa pengo halizibiki lakini utakua imara na utaishi pia
 
Pole sana mdogo wetu Mungu akutie nguvu katika kipindi hichi cha kumpoteza mzazi
Hey dear!!Pole sana kipenzi Mungu ana sababu ya kila jambo,nafahamu utasimama imara ingawa pengo halizibiki lakini utakua imara na utaishi pia
Barikiwa pia Anne
Amen[emoji24][emoji120]
Akhsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…