Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Heaven Sent Atatu update hapahapaAnne poleni sanaa na msiba wa Baba.
Mshana ingekuwa vyema ukaeleza msiba upo wapi ili watakaopata wasaa waweze kufika kuifariji familia. Poleni tena
Heaven Sent Atatu update hapahapa
Tayari dadaUtaongezea kule juu. Alikwenda Mbozi kusalimia, akiwa huko aliugua ghafla na kulazwa, bahati mbaya umauti ukamkuta. So bado taratibu nyingine za kifamilia zinaendelea, ila msiba na kila kitu kitamalizikia huko Undali.